Huo mvuto unaouona umepotea ni wewe na baba yako lakin chadema hawezi kupoteza mvuto eti kwasabu ya kuwajibisha viongoz wa juu wenyekutaka chama kisiwe na mvuto. Chama imara hakifumbii macho ujinga. Ya kufumbiana macho yako uko kwenu CCM.
Imani yangu kubwa ipo kwa mh. Mbowe ktika kuimarisha chama na naamimi tutashinda. Twende kaz huko Tabora dr. anaendelea na kaz ya kukiimarisha chama changu nikipendacho.
Mmi naona kwamba sasa Tanzania hatuna serikali inayoweza kufanya kazi na kuaminisha wananchi kwamba kweli tuna serikali makini. Mimi nizungumzie swala la MADAWA YA KULEVYA a
Ka Unga , hiv nikweli kwamba serikali imeshindwa kusimamia uadilifu mpakat tunadhalilika kiasi hiki? Madawa haya yanapita...
Umeme vijijin ni ndoto ya mchana kwa kuwa na yenyeww ni kama ahadi zingine zilizotolewa na serikali hiihi ambazo hazijatekalezwa tangu 2010. Hapo tu nikufunika kombe ili mwanahalam apite.
Kumekuwapo na utumiaji vibaya wa rasilimali za nchi yetu ambapo siasa imekuwa ikitumika kuliko ukweli wa uhalisia, mi ningeomba katiba mpya itamke kuwepo na uwazi katika mikataba itakayo sainiwa na viongoz mbalimbali ili kujilidhisha na rasilimali zitakazo tumika na kipato kitakacho kuwa...
Maombi yangu naomba katiba isifanyiwe siasa kama siasa zinavyofanyika kwenye mambo ya msingi sana kama vile uwaz wa serkali na kutoa maisha bora kwa kila mwanachi. Endapo katiba itafanyiwa siasa maisha yetu watanzaia yataharibika zaidi ya sasahivi na kufanya viongoz waharibu tunu za wanacnhi.
Nini tufanye ili kuepusha migogoro na lawana ambazo kwenye chaguzi zetu hutokea ni bora iwepo tume huru ambayo itasimamia uchaguz kuliko hii ambayo ipo na wakati mwingine inajihusisha na udanganyifu wa kula. Ningependekeza Katina mpya itambue tume huru ili kuondoa udanganyifu unaofanyika wakati...
Chama hiki kimeshika dora miaka mingi iliyopita, lakini kwa sasahivi kinaonekana kutopendwa na wananchi wengi kutokana na kukosekana kwa utawala bora unajenga haki na masilahi sawa kwa wote.Mi nishauri tu kwamba ccm na serikali yake ikae chini ijitadakari upya nin cha kufanya ilikurudisha hadhi...
Ni dhahili kuwa Tanzania ya mwaka 1hali964 na ya 2013 ni tofauti sana katika hali nzima ya kisiasa na utumishi wa umma, zamani katika serikali kulikuwepo uwajibikaji kwa viongoz na watwaliwa hali iliyobaki sasa hvi katika medani za siasa ni kujinufaisha kwanza kisiasa haliinayofanya utawala...
Kama alivyodai kuwa alifanya utafiti na kujilidhisha kwamba tozo la shilshiling 1000 hata mwananchi wa hali ya chini anaweza kumudu kuilipa kwa kila mwezi, tunaomba aweke hadhalani wapi alifanya utafiti huo na wadau mbalimbali walioshiriki isiwe anatuuzia mbuzi kwenye gunia.
Ila kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.