Na mimi nimeingia mtandaoni nimekuta jamaa 1 anauza LG smart inch 65 kwa 800,000 nawaza apa je ndio bei yake? nisije choma nauli mpka zanzibar wazoefu wa mtandao tafadhari msaada.
Pole sna mkuu mm mke wng alipona kwa dawa ya 30,000 tuu kuna dawa nilinunua pale msikiti wa vetenari teneke 0754212553 uyu jamaa anadawa nzur sna unafuu unapata baada ya siku tatu matokeo utayaona
Kama unahitaji mkuu profile hii apa kama ni mtu binafsi tunakubaliana na kuandikishiaba mkatabaa na kama n kampeni tunakutumia quotation according to your needs.
Habari wana jamiiforum.
Tumesajiliwa kama kampuni ya kukodisha magari.
Tunakodisha magari aina zote makubwa kwa madogo kwa ajili ya Taasisi,harusi,msiba, na miradi mikubwa kwa midogo kwa bei nafuu sanaa karibuni sna.
Kwa mahitaji ya gari yoyote tafadhari
Contact nime attache profile ya...
CAG AWEKA WAZI MBINU CHAFU ZA KUJIPATIA FEDHA ISIVYO HALALI NDANI YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA
Katika ripoti ya CAG (2020/2021), miongoni mwa taasisi ambazo viongozi wanajipatia fedha za umma kwa njia za ujanja ujanja ni Shirika la Bima la Taifa (NIC).
CAG anaonyesha wazi kwamba, kiasi cha...
Katika ripoti ya CAG (2020/2021), miongoni mwa taasisi zenye madeni makubwa kabisa ni Shirika la Bima la Taifa (NIC). Shirika la Bima lina deni la shilingi bilioni 275.
Miongoni mwa mapendekezo aliyoyatoa CAG ni kwamba, taasisi zenye madeni makubwa kama NIC zipewe fedha kutoka Serikalini ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.