Recent content by vpamba

  1. V

    Kigoma: Aliyekuwa Mbunge wa Mhambwe(NCCR Mageuzi), Mkosamali ajivua uanachama. Asema chama kimemezwa na CHADEMA

    Yaan wapinzani hatimae mnaonekana kama #wajinga tu, mara mdai ccm inatumia Tume na Polisi kushinda chaguzi.. Mara tena ati ccm inanunua wapinzani! Hivi kwel kama ccm inajua kabisa itatumia Tume na Polisi kushinda chaguzi itatumiaje tena Pesa kununua watu??! Please, wapinzani ought to be serious...
  2. V

    Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Sorry, hayo c maamuz magum mkuu bali ni maamuz MAKINI na ya busara... Maamuzi magum ni kama kujinyonga, kuhonga 280000 kutoka laki tatu pekee uliyonayo, kujisaidia haja kuu barabarani ilihal u mtu mzima timamu, kutumia gharama kuuuubwa kutafuta cheo na bado ukashindwa na aliyetumia gharama...
  3. V

    Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Mtajijua tu this time, mlizoea.. She. n. z. y. Typ.... Goo Magufuli Goo my president goooooo...
  4. V

    Ndugu zangu, Maadui wa Magufuli ni wananchi wenyewe!

    Mkapa alishawamaliza nyie....
  5. V

    Ndugu zangu, Maadui wa Magufuli ni wananchi wenyewe!

    Tehtehteh hata cjui nikuiteje wewe pamoja na walioku like.. But bahati nzuri mh Mkapa alishamaliza so unajijua... Utafurahiaje watu baadhi (kiduchu sana 8%)kumponda Rais mapema hivi kwa mwanzo wake mzuri na hapo hapo unawadharau wanaompongeza (92%)mapema?? Nadhani we ni miongoni mwa wachache...
  6. V

    Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Tehtehteh we boroga tu.. Chezea tingatinga weye...
  7. V

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Tehtehteh Chadema kweli hamna akili!! Hivi na nyie mmeng'ang'ana kabisa kujilinganisha na ccm ya 2010?! Yaan mnakiri kabisa kwamba leo mmegeuka kuwa ccm ya 2010 na ccm kuwa Chadema ya 2010??!!... Kweli ukihamishia choo chumbani, huna budi kukubaliana na HARUFU kali...
  8. V

    Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

    Tehtehteh Tehtehteh yaaani raha nimesoma comment karibu zote ikiwamo na yako... Nilichogundua ni kwamba dr Slaa amekuwa mwiba mkali sana kwa Wakiwa aisee!!! Naona Malofa yanaweweseka balaa... Shida ni nini, yaan nyie muongee mtakacho halafu mumuzuie yeye kuongea?! Halafu si mlidai hana impact...
  9. V

    Slaa amerejea nchini

    Tehtehteh wanachekesha sana, wanang'ang'ana hana impact WAKATI mapovu yanawatiririka tu.. kwenye uzi wake.!! Ukweli mnaujua tu kuwa huyo ndo kiboko yenu..... Tehtehteh mibavicha bana....
  10. V

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Tehtehteh jaman si tutumie hata akili ndogo tu.. Hivi unategemea EL mwenyewe akutamkie kuwa anaumwa?! Aaaah wapi, yule jamaa anausongo mno na ikulu yuko ladhi hata aende pale akakae tu.. Kwa hiyo usitarajie kumsikia akisema anaumwa.. Ila ujue akishaingia ikulu yeye lake limetimia, majanga...
  11. V

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Jaman, issue sio kufa bali ni je utafanyaje kazi huku unaumwa??
  12. V

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Tehtehteh mbona mnazunguka. Ukweli ni kwamba jamaa anaumwa, nadhani hilo hata wewe unalifaham...wala kuumwa c ajabu LAKINI ajabu inakuja pale mgonjwa anapolazimisha "kufanya kazi" wagonjwa huwa wanaachwa wapumzike jaman... Hata wewe ukiugua huwez kwenda kazini na hata boss akigundua hali yako...
  13. V

    Impact ya kuondoka kwa Dr. Slaa imeanza kuonekana CHADEMA

    Tehtehteh ndg huwez ukapima mambo kwa mtu aliyeko segerea, kwanza kabisa mtu aliye segerea hawezi kuona katendewa haki hata kama kweli ni mkosaji.. Kwa hiyo ataichukia serikali tu lazima.. Na pili mtu wa segerea hapigi kura.... So sioni impact yake at all... Yaliyowafanya wawe segerea kila mtu...
  14. V

    Impact ya kuondoka kwa Dr. Slaa imeanza kuonekana CHADEMA

    Cha ajabu ni nini hapo?? Hebu jikite kwenye hoja ndg, hili tatizo lenu la kuambiwa UKWELI mnajifanya hamsikii, lazima liwagharimu tu... Mtoa mada kasema mambo kisomi kabisa but mnajifanya hayawahusu!!! Kiukweli Chadema ya sasa ukiitazama bila kuweka ushabiki unaona hakuna chama pale kabisa, ni...
Back
Top Bottom