Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya Samwel Kiboye na Katibu wa UVCCM wilaya wamejiuzuru nyadhifa zao ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).
Ndugu zangu wana JF, mimi ni Mwalimu Idara ya Sekondari katika Wilaya X.Tarehe 20 Januari 2014 nilichaguliwa kwa kura nyingi kuwa mwakilishi wa Chama cha Walimu idara ya Sekondari Wilaya katika uchaguzi wa kuziba nafasi zilizokuwa zimeachwa wazi.
Tangu siku hiyo ya uchaguzi sijawahi...
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!
Niliwahi kuweka bandiko hapa jf juu ya madhila yanayowapata Madaktari katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi.Madaktari hawa ni wale walioajiriwa mwezi wa Saba na Kumi mwaka jana.Nilieleza jinsi Madaktari hao wanavyotaabika kwa kukosa nyumba za kuishi kutokana na Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi...
Katika kile kinachoonekana kama Serikali kushindwa kutatua kero za Madaktari nchini Madaktari wapya katika hospitali ya wilaya ya Misungwi hawana maala pa kuishi.
Madaktari hao ambao waliajiriwa mwezi wa saba na kumi mwaka jana hadi leo hawana mahala pa kuishi kutokana na halmashauri hiyo...
Halmashauri mpya ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara haijapata fedha za uendeshaji kutoka serikalini kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Novemba 2013 hadi sasa.Kufuatia hali hiyo,shughuli mbali mbali katika halmashauri hii zimekwama ikiwa ni pamoja na malipo mbalimbali ya watumishi kama...
Mimi ni mwana Chadema ambaye msimamo wangu juu ya chama changu hautiliwi shaka.Lakini kwa hili naomba nikiombe chama changu na viongozi wangu wa juu kuwa,wakati umefika wa kuwalipa mishahara viongozi wa Wilaya na Mikoa hasa Wenyeviti na Makatibu.
Si kweli kwamba ni viongozi wa Makao Makuu ya...
Mshirika wa karibu wa mikakati ya Zitto Dr Alex,usiku wa kuamkia leo alifanya kikao na watu wa Kigoma (Waha) waishio Dar es salaam huko Tegeta Mwisho.Awali wajumbe wa kikao hicho walimwomba na kumsihi Dr Alex kutowatukana ama kuwakashifu viongozi wa chama.
Chanzo cha habari kinasema Dr Alex...
Nimekuwa nikijiuliza kwa nini Mbunge wangu wa Jimbo la Rorya kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe Lameck Okambo Airo hajawahi kuchangia hata mara moja bungeni na wakati mwingine hulazimikal kukwepa vikao vya bunge.Hatimaye leo nimepata jibu,tazama CV yake!
MEMBER OF PARLIAMENT CV.
General...
Ngoja wawatukane,Rorya mmechagua darasa la saba kuanzia madiwani,Mwenyekiti wa halmashauri hadi mbunge kwa sababu ya ujinga wenu wa kupenda hela ndogondogo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.