Recent content by Vonzelewsk

  1. V

    JamiiForums Tanzania Aliewahi Kuwa Balozi Wa USA Amesema Kuwa Vita Na Iran Lilikuwa Ni Kosa Kubwa Sana Ambalo Limeifaidisha Zaidi Iran

    WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini Israel, Daniel Shapiro, ametoa tamko zito linalozua mjadala mpana, akidai kuwa vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vilikuwa kosa la kihistoria na ni lazima vifike kikomo mara moja ili kuepusha madhara zaidi. Katika tathmini yake ya...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Maslahi gani unayoongelea ni kitu gani ambacho USA akikitaka apa tanzania mtamnyima? Nchi ilivyojaa Rushwa hii kila kona.. Tanzania na kenya ni nchi za kimkakati kwa africa mashariki kwa USA ..ndio mahana uwezi sikia mambo ya ugaidi wala vita za ajabu
  3. V

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoa baadhi ya masharti makali kwa Tanzania

    Tuletee source ya habari yako..watu wamempigia mpaka senetor cruz na shaeen wanasema ilo jambo halipo muswada uko pale pale bunge pekee likikaa ndio linaweza kuondoa baadhi ya vipengele na 100% ya wabunge wengi wameshausoma muswada wanaenda kuupitisha.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

    Aya sasa anaenda kuchezesha game kubwa kuliko ata iyo ya worldcup
  5. V

    JamiiForums Tanzania Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

    Marekani siyo mbinguni mzee aya sasa kapewa heshima kubwa zaidi ya ile
  6. V

    JamiiForums Tanzania Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

    Shirkisho la mpira barani ulaya UEFA limemteuwa Omar artan kusimamia mchezo wa Uefa supercup kati ya PSG na Aston villa uko jijini salzburg
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kama hayati JPM kwa miaka mitano alifanya makubwa taifa lake, je angekaa miaka kumi ingekuwaje? Angekuwepo Bandari ya Dar isingebinafishwa kwa Mwarabu

    Angekuwepo mpaka leo hali ingekuwa ngumu sana wawekezaji wote wangeondoka na angefosi aendelee tena kuongoza kwa kisingizio kuwa watu wanampenda.. kungekuwa amna chama ata kimoja cha upinzani angevifuta kabisa
  8. V

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, azuiwa kuingia Marekani, kuchezesha Kombe la Dunia 2026

    Qatar, turkey wote nasikia walimpa offer ya uraia ili aweze kuingia marekani bila shida akagoma..somalia wameruhusu uraia pacha alikuwa anachukua uraia ata wa Qatar uku uraia wake wa somalia ukiendelea kubaki akakaza fuvu by the way CANADA na MEXICO zimemruhusu achezeshe kwenye nchi zao kama...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote

    Uyu shekhe ni fala sana ..amna ruhusa iyo kwenye uislamu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys imevunja kambi yake leo Juni 5 lakini hawajapewa Tsh. Milioni 500 walizoahidiwa na Rais Samia

    Ningekuwa mimi ndio mmoja wa wachezaji apo moto ambao ningeuwasha wangejuta
  11. V

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys imevunja kambi yake leo Juni 5 lakini hawajapewa Tsh. Milioni 500 walizoahidiwa na Rais Samia

    Nilijua tu TFF awawezi kuiacha iyo 500m
  12. V

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys imevunja kambi yake leo Juni 5 lakini hawajapewa Tsh. Milioni 500 walizoahidiwa na Rais Samia

    BREAKING NEWS…!! SERENGETI BOYS WAVUNJA KAMBI NA VILIO KIBAO Timu ya Taifa ya Soka ya U17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imevunja kambi yake leo pale Tiffany Diamond Hotel huku wachezaji wakitakiwa kuripoti kambini tarehe 4 Julai 2026 kwajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa U17...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Augustino Lissu, mtoto wa Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress

    Augustino Lissu, mtoto wa mwanasiasa mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress nchini Marekani. Akizungumza kama mtoto na si mwanasiasa, Augustino alieleza jinsi alivyokuwa katika kivuli cha...
Back
Top Bottom