Recent content by Vonix

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani huwa hawachambui Bajeti ya Serikali ikishasomwa?

    Sawa ila mwendazake anajua na ndio maana alivuruga uchaguzi 2020
  2. V

    JamiiForums Tanzania Head of State anaposhangaa kupokewa na Head of state

    mama anazidi kuifungua nchi........:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  3. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amechanga karata zake vizuri

    Ndio uliletwa na yeye kwani uongo??alikuwa anapika data tu.alifeli kwa kila jambo mleta mada umesema kweli yote.aliamini kwenye kuvuruga nchi,vuruga uchumi wa nchi na wa wananchi,ukabila ulishamili hasa wa kipande cha wale washamba wachunga ng'ombe.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mazungumzo kati ya wana CHADEMA na Rais Samia. Haya ndio madai ya wana CHADEMA kwenye suala zima la maridhiano

    Sio kipimbi tu bali huyo ni msukule eti Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 88 anajitekenya halafu anacheka baada ya huo ushindi ikaweje??
  5. V

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    N huyo ndio anaitwa mwandishi nguli,sijui anawaza kwa kutumia nini.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    Uko sahihi mkuu kama SOPHIA SIMBA NA MEMBE waliofukuzwa CCM kisha wakasamehewa na kurudishwa kundini hakuna kisichowezekana.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

    Mkuu mmoja si alitoka huko huko juzi juzi tu ndio aina ya hao watu,uliona alikokuwa anaipeleka hii nchi???wengi ni washamba na mazuzu kibao huo ndio ukweli japo mchungu.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Rais Samia

    Ni sawa Nyerere alikuwa yuko vizuri kwa Kiingereza ila aliharibu hadi leo wachache wanaweza kuwa fluent kwenye hiyo lugha,ni hao hao awamu ya kwanza kwa ubinafsi wao wakapindua mitaala ya elimu mara elimu ya UPE,mara masomo yote kwa kiswahili utadhani ndio kilikuja na hayo masomo nchi...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!

    Aisee!!! basi sawa ila bila shaka ni kule kule Chato.Mtawala hafuati sheria za nchi,taratibu zake wala kanuni sijui tunamuweka fungu gani huyu?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!

    🤣 🤣🤣🤣Wao walimuita shujaa wa Afrika sijui aliifanyia nini Afrika ??!!!
  11. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

    ''Naweza kukufanya usiongee hapa Bungeni mwaka mzima na usinifanye chochote" 🤣 🤣
  12. V

    JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Anaemsujudu yeye alisema wazi kabisa kuwa 2020 hakuna kitu kitaitwa upinzani hapa Tanzania na kweli alilifanyia kazi kwa kushirikiana na Polepole na Bashiru je mbio zao waliweza kumaliza jibu ni hapana ila wao ndio WALIMALIZWA.Chadema ipo vilevile tena inapendwa zaidi.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Akili kubwa ni ile ya kupora wake za watu tu .
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kwani, watu wa mitandaoni siyo Watanzania? Rais Samia amejiongoza vibaya!

    ''HUKO KWENYE BUNGE LA KATIBA ALIFUATA NINI TENA AKAWA NAIBU SPIKA''Hii mada ya Mkuu MMM Umehitimisha kwa swali zuri sana, hawa ndio maccm mahili sana kujitoa ufahamu WANAJUA VYEMA katiba ikibadilika tu wao unawatoa nje ya reli.Nguvu yao kuu ni usalama wa taifa ,tume ya uchaguzi na vyombo vya...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

    Kongamano la UWT kumpongeza Samia sasa hayo ndio mapokezi ya Shaka mngekuwa mnapendwa hivyo mngehangaika kupora kura na kuvuruga uchaguzi mzima kama alivyofanya yule jamaa yenu kisha akasombwa na mafuriko ya Mungu.
Back
Top Bottom