Recent content by Voice of wise

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

    Yaani kwa akili hizi za kichawa Africa inasafari ndefu sana kuufikia ustaarabu. Na watu wa hivi wako wengi sana nchi hii.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya Msigwa kumlipua Mzee Ali Kibao ina ukweli gani?

    Fuatilia kwenye u-tube kuna mahojiano kwenye mtandao wa sauti ya watanzania amemtaja kwa jina ally kibao kuwa anaongoza kikundi cha hamasa cha chadema wakati anajibu maswali ya Wana sauti ya watanzania
  3. V

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa amwandikia Mbowe barua akidai fidia ya Tsh. Bilioni 10

    Tuachie mamlaka yatabainisha ukweli. Alisikika kwenye maswali aliyokuwa akijibu kwenye mtandao wa sauti ya watanzania akimtaja ally kama kiongozi hatari wa kikundi cha hamasa cha chadema na siku chache baadae mzee ally kauwawa kikatili.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wanangu mi ni kuwaombea tu uzima familia zenu zisipoteze shujaa wao maana ukatili huu umezidi na unaweza mpata yoyote

    Hili tukio limeniliza kwa kweli. Vijana kadhaa na nguvu zao wamemdhalilisha sana babu yao. Wamelaaniwa hakika.
  5. V

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Hitaji kuu la wanasiasa ni kushinda uchaguzi ujao

    Sikiliza ujumbe huu kuhusu wanasiasa. My take, tutafuteni maisha yetu, tusitegemee wanasiasa watatubadilisha maisha yetu binafsi. Tupige kaazi.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, hili nalo liangalie kwa makini

    Katika wizara ambazo zinakaba nchi kwenda mbele ni pamoja na hii ya TAMISEMI. Wizara hii ndiyo imekamata majukumu makuu ya kiuchumi kuanzia chini kabisa ngazi ya wananchi wazalishaji vijijini, miji midogo, miji ya wilaya, hadi miji ya mikoa. Ni wizara nyeti sana kwa maendeleo na ustawi wa...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    Kama hayo yote yalitimia kutokana na sauti ya wengi, likiwamo la Yesu kusulubiwa, basi ni sauti ya Mungu kwa kuwa huo ulikuwa ni utaratibu wake wa kutimiza unabii. Bila hivyo unabii ungetimiaje?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Kwa kweli JK anatakiwa aseme neno moja tu kwa ajili ya kuliponya Taifa. Mimi naamini, kwa heshima yake kama Rais mstaafu atasikilizwa na serikali pamoja na wananchi. Atoke hadharani, atumie hekima yake kuweka sawa suala la udini liloibuka. Wakristo na waislam sote ni wamoja tujirekabisha...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini TEC wamejitokeza awamu ya sita?

    Hisia potofu tu hizi. Je nitakosea nikisema waislam wamejaa udini zaidi kiasi kwamba hawajadili vipengele vya mkataba badala yake wanautetea kwa sababu mwekezaji ni mwarabu mwenye uislam wake?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Acha kupotosha mkuu. Hayo unayoongea yote ni ya kihisia tu. Tusiharibu upendo wetu wa dini zote uliojengwa na watu wenye hekima zao. Hadi tuna baraza la amani ambalo linafanyakazi nzuri mno ya kuondoa ubaguzi wa dini. Huu uzi unachochea ubaguzi haufai kuendelea.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa Rais Samia, Usiingie Kwenye Mtego wa Udini Kwa Kukumbatia Maagizo ya TEC

    Mimi nashangaa sana. Hivi akili yetu yoote kuhusu uendelezaji bandari zetu ndiyo imeishia kwa DPW? Yaani hatuwezi kufikiri tofauti kabisa. Kwamba tukiachana nayo ndiyo tutakwama kabisa kuziendeleza wenyewe? Kwamba tumejidharau kiasi hicho. Yani ni sawa na baba wa familia mwenye mali nyingi...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Udini, udini na udini. Chuki, chuki na chuki. Hapa ni hekima, hekima na hekima inahitajika. Kumbe DPW ni bomu la udini. Hivi tukiachana nalo tutakifa? Maana tukiendelea nalo tutakuwa sikio la kufa halisikii dawa. Haya endeleeni na lugha zenu za kibaguzi. Msijesema hatujawambia siye kina voice of...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Hii nchi mmeanza kuipasua vipande vipande. Hakuna watu makini kweli huko?

    Ni kweli kabisa, kwa hapa tulipofikia kinachohitajika ni hekima ya Mungu tu ndiyo italinusuru Taifa. Mungu akautoe upofu wa uvyama, udini na utanganyika vs uzanzibari. Ukizuum vizuri huko mbele Taifa linaelekea kupasuka vipande vipande unless roho wa Mungu awashukie wazee wanaoheshimika na...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Kweli kazi tunayo watanzania. Kwa mwenendo wa mjadala kwenye Uzi huu unavyoendelea ni dhahiri vimelea vya udini vipo kwa baadhi ya watanzania. Nafikiri ni bora tungejadili hoja zilizotolewa na wanaopinga mkataba huu kuliko kukazania tu kwamba wanaopinga wanapinga kwa sababu ni wakristo...
  15. V

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Ukiwasha VPN picha zinafunguka
Back
Top Bottom