Recent content by vodafone

  1. V

    Nahitaji mayai ya kuku wa kisasa

    Kiongozi nimekuPM
  2. V

    Ahukumiwa kiboko kimoja baada ya kumpa mwanafunzi mwenzake mimba

    Hiyo ndo point mkuu, kanuni ya adhabu 'penal code' , Education Act pamoja na Child Act zikisomwa kwa pamoja,zinakataza adhabu ya kifungo kwa mtoto mwenye umri wa miaka chini ya miaka 18,kwahiyo uenda huyo jamaa aliyemtia mimba mwanafunzi ni below 18 hivyo adhabu ya kiboko iko sahihi kabisa.
  3. V

    Wafanyabiashara waweza kumuathiri Magufuli, ikiwa...!

    Duh kweli wabongo ni undefined, kwahiyo mlitaka majizi yaendelee kutuibia kwa kukwepa kodi? Suala la kukwepa kodi na lile la kupunguziwa kodi ni vitu viwili tofauti. Na kuhusu ada za shule binafsi kuna sheria inayowaongoza kutoza ada si kwamba mtu akurupuke na kutoza milioni kumi then serikali...
  4. V

    Ya Maalimu Seif na Kuanguka kwa Mawaziri na UKAWA kuelekea kupata zaidi ya majimbo 165

    Muleba kusini kashinda Prof Anna Tibaijuka, ndo katangazwa mida hii
  5. V

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Matokeo rasmi majimbo ya Kagera Bukoba Mjini: Mshindi ni Balozi Khamis Kagasheki, Balozi Khamis Kagasheki 6971 Dr Anatory Aman 944. George Rubayuka 113. Josephat kaijage 71. Mujuni kataraiya 53. Philbert Katabazi (nyerere) 34. clistiana Rwezaula 29. Hereth Projestus 19. BukobaVijijini Mshindi...
  6. V

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Muleba kusini kwa Anna Tibaijuka kwa upande wa Chadema kapita Alistides Kashasira aliyepata kura zaidi ya 200 kati ya 400 na kulikuwa na zaidi ya watia nia 4
  7. V

    Ukiokota smartphone bora uirudishe tu la sivyo utaishia lupango

    Kwani nani kawambia kuwa kuokota simu CMU ni kosa?unaweza okota ukatumia na ukatafutwa na polisi ukakamatwa but still huwez funguliwa shitaka lolote maybe utakachopoteza ni hiyo cmu kwani utapokonywa!
  8. V

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Hospital za makanisa zinahudumia watu wote bila kubagua lakini mahakama ya kadhi itabagua hivyo ruzuku kwenda kwa hayo mahospital ni sawa tu kwani huduma ni kwa wote
Back
Top Bottom