Recent content by Vodacom Tanzania

  1. Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania yafanya Uboreshaji mkubwa wa Mtandao ili kuhakikisha mustakabali imara na wa muunganiko zaidi

    Ndugu Mteja, Tunapitia kipindi cha maboresho muhimu kwenye mifumo yetu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha zaidi huduma. Katika siku chache zilizopita, huenda umekumbana na changamoto katika matumizi ya huduma zetu. Maboresho haya makubwa ya miundombinu yetu ya TEHAMA yanalenga kukuletea huduma...
  2. Vodacom Tanzania

    Twende Butiama: Vodacom inakusogezea huduma za afya bure mkoani mwako. Karibu uhudumiwe kuelekea siku ya kumuenzi Mwalimu Nyerere

    Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara wa waendesha Baiskeli kuanzia Septemba 28 na tutafika kikomo Oktoba 14 huko Butiama. Lengo ni...
  3. Vodacom Tanzania

    Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

    Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi. Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
  4. Vodacom Tanzania

    Kasi Intaneti mpya kutoka Vodacom Plc

    Vodacom Plc inafurahi kuwaletea KASI Intaneti, njia mpya ya kupata Intaneti isiyokata. Ukiwa na KASI Intaneti unaweza kuperuzi, kutuma barua pepe, kuangalia filamu mtandaoni (yaani kustream), na kuendelea na biashara zako kama kawaida. Intaneti hii inafaa kabisa kwa matumizi ya nyumbani na...
  5. Vodacom Tanzania

    New KASI Internet from Vodacom Plc

    KASI Internet is a new Internet access Solution from Vodacom Plc that provides you with unlimited data connectivity. With KASI Internet you are able to browse and surf the web, send emails, stream online and conduct business as you please. While this is great for leisurely use in the home...
  6. Vodacom Tanzania

    Itel gado ofa toka vodacom ni utapeli

    Pole mdau kwa tatizo lililokupata, Tunaomba mawasiliano yako PM kwa ufuatiliaji na utatuzi wa shida hii. Karibu sana.
  7. Vodacom Tanzania

    Vodacom M-Pesa: Tunasherehekea miaka kumi ya kubadilisha maisha ya Watanzania

    Salaam ndugu, Pesa yako ni salama wakati wote, ukipoteza maisha pesa inatunza kwenye akaunti maalumu na kama kuna ndugu au jamaa wa mtumiaji atazihitaji basi kuna taratibu za kufuata ( karibu vodashop ya karibu kwa ufafanuzi zaidi) na akikamilisha atapatiwa, na kama hatatokea basi fedha hizo...
  8. Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    shukrani sana Kibomonya, Tutazingatia ushauri wako. Asante
  9. Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Salaam Nanga, kuongezeka kiasi cha kukopa inategemea na mwenendo wako wa matumizi ya simu na kufanya marejesho, na si rahisi ikawa ghafla. Endelea kuwa nasi kwa huduma nzuri zaidi.
  10. Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Salaam, tunaomba namba yako kwa PM tufuatilie na kukusaidia
  11. Vodacom Tanzania

    Vodacom M-Pesa: Tunasherehekea miaka kumi ya kubadilisha maisha ya Watanzania

    Hello Mbiirwa, Kifurushi cha YaKwakoTu bado kipo kupitia *149*03# na kitakupa ofa kulingana na matumizi yako tu. Karibu sana Asante
  12. Vodacom Tanzania

    Vodacom M-Pesa: Tunasherehekea miaka kumi ya kubadilisha maisha ya Watanzania

    Hello Haliishi bando bado ipo, piga *149*01#ok> 3(cheka+cheka zoga)> 7 (Haliishi bando) kupata huduma hiyo. Asante
  13. Vodacom Tanzania

    Vodacom M-Pesa: Tunasherehekea miaka kumi ya kubadilisha maisha ya Watanzania

    Endelea kufuatilia kurasa zetu, kama ilivyo kauli mbiu yetu ya Yajayo yanafurahisha, Uko Tayari? tutakuletea mambo mazuri muda si mrefu.
  14. Vodacom Tanzania

    Vodacom M-Pesa: Tunasherehekea miaka kumi ya kubadilisha maisha ya Watanzania

    Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za kibenki, kuweka na kukopa pesa, kutuma pesa nje ya nchi na huduma nyingine nyingi. Huduma...
  15. Vodacom Tanzania

    Vodacom M-Pesa yapewa tuzo na kutambuliwa na GSMA kwa huduma zilizotukuka

    Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-PESA imetambuliwa na kupatiwa cheti kutambua ubora uliotukuka wa huduma za kifedha. Tuzo hii imetolewa jana jijini Abidjan, Côte d’Ivoire kutambua usalama na uhakika pamoja na nia thabiti ya M-Pesa katika kulinda haki ya mteja. Tuzo...
Back
Top Bottom