Haya mambo yamenizidia huyu Mange Kimambi anamdhalilisha sana Rais wetu na baadhi ya Watanzania wanafurahia kabisa kuona mambo haya hii ni aibu kwa Taifa letu, Rais anavyotukanwa manake tunatukanwa Watanzania wote, hainingii akilini kawmba Watanzania tumekuwa dhaifu kiasi hiki. Kwamba hatuwezi...
Tayari umeapa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha na wewe sio mgeni kwenye kazi ya ukuu wa Mkoa ulishaitumikia hapo mwanzo wakati wa Hayati Rais Magufuli.
Sasa napenda kukushauri hili.
Enzi za Magufuri zimeisha pita sasa hivi tupo na Mama Samia ndio Rais wetu hii tabia yako ya kumsifu na kumuenzi sana...
Mtazamo wa viongozi kwa vijana ni wa kiwango cha chini sana, sasa mnanza kutafuta visingizio ya vijana kutofanya kazi na kuwajibika sawa sawa mnafikiri ni kwa sababu ya betting yaani wote mnajikita kwenye sababu rahisi kwamba vijana wengi wamekuwa wanakimbilia kwenye kubeti kwa sababu hawana...
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia.
Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.