1.Ndio,lakini ni kwa mambo ya kawaida ya kila siku...mara zote nimejutia kwa kuwa uongo ni dhambi na una gharama kubwa kuulinda.
2.Hapana sijawahi.
3.Nitamuuzia kwa hiyo sh.90/=...kwa sababu kutokua mwaminifu kunapoteza wateja katika biashara.
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri wowote na jinsia yeyote.
**Lengo ni kubadilishana mawazo ya kimaisha(Urafiki wa kawaida)
Yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.