Recent content by VLAD98

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Lissu Bado tata Gerezani!

    Mungu anawaona
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mwenye tamko la maaskofu la kulaani Lissu kupigwa risasi atuwekee hapa. Nataka ni confirm kitu

    Keep going matokeo mtayapata soon na naomba yaanzie kwako
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mwenye tamko la maaskofu la kulaani Lissu kupigwa risasi atuwekee hapa. Nataka ni confirm kitu

    Hii kadi ya udini mmeanza kuicheza wazee sio nzuri itatumaliza ikiwemo nyie machawa na ndugu zenu i
  4. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 Catherine Ruge: Nimekuwa nikifanyiwa vurugu kwenye kampeni zangu, Polisi hawatoi ushirikiano ipasavyo

    Ikiwezekana wamgonge kabisa maana wenzake wakipigana na utawala dhalimu yeye aliona ni bora kuwasaliti
  5. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 Halima Mhando: Kususia Uchaguzi ni kosa, ni sawa kususia maendeleo

    Ila kuupora na kutokutenda haki ni halali si ndio???
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

    Umesoma ukajisikia ujinga uluoandika
  7. V

    JamiiForums Tanzania Lissu aondoke nchini

    Kwanini aondoke??
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    We ni matako ya nyani kweli kwan sheria gani ya fifa unaruhusu political donations
  9. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Waliotekwa walivunja sheria gani kiasi kwamba wasipelekwe mahakamani
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

    Hatuwezi na hatutaki kuangalia mpira uliochanganywa na siasa ni hio tu wala hakuna mwenye chuki na mtu. Na mpumbavu ni wewe unaetaka tufanane mawazo
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

    Tunaenda uwanjani kuangalia mpira sio mabango ya samia watoe hayo mabango ya siasa tutarudi uwanjani kama kawaida
  12. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Kwahio wewe kupandishiwa mishahara huku wenzio ambao hawako kwa mfumo wanateseka kwa kupewa kesi , kuuliwa ni sahihi. Amani hailetwi na pesa pekee msingi wa amani ni haki
  13. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

    Endelea kuuza utu wako kwa 10k mambo ya chadema waachie chadema na hata wakiishiwa amna siku walikuja kwako wakakuomba
Back
Top Bottom