Recent content by vizier

  1. vizier

    Je, Jua ni Mungu?

    Ulichoandika kinafikirisha, ila kwa logic ya zama hizo kabla wakina Galileo hawa jaja na hayo mapinduzi ya kisayansi jamii karibia zote zilikuwa zikiamini kuwa jua ndiyo linalo uzunguka ulimwengu. Kwa kutumia logic hiyo waandishi wakasema joshua alilisimamisha jua. Kwa maana nyingine kama...
  2. vizier

    Je, Jua ni Mungu?

    I don't Go to church either[emoji2][emoji2]
  3. vizier

    Je, Jua ni Mungu?

    Sun can goes down but God will not. Joshua aliwahi kulisimamisha jua, mwanadamu hana uwezo huo. Musa alimuuliza Mungu wakiniuliza niwaambie ww ni nani. Jibu la Mungu lilikuwa hili "mimi nipo ambaye niko" jua wanyama na other universal bodies ni utukufu wake. Ila Mungu yu ndani yetu.
  4. vizier

    Je, Jua ni Mungu?

    Harafu nimependa article yako ingekuwa vyema kama ukitupa na reference.
  5. vizier

    Je, Jua ni Mungu?

    Who is God!? God among Us. Nazani messiah alisha fafanua kuwa Mungu ni Roho na Wamuabudio harisi watamuabudu katika roho na kweli. Mwili wako Ndiyo hekalu la Mungu. So don't get twisted. The true religion is LOVE.
  6. vizier

    Kwanini Kuwe na Ngozi Nyeusi (Africans) na Nyeupe?

    Rafiki inaelekea hujawahi ishi nnje ya Africa, ubaguzi upo kwenye kila jamii. Ila tu wa watu weusi unavuma kwa sababu kila mtu anauonyooshea kidole
  7. vizier

    Namna ya kutambua 'single girls'

    Endelea kutafuta mafanikio wanawake watakuja wenyewe.
  8. vizier

    Je mashine zitakuwa mbadala wa mwanadamu?

    Hebu tupe mfano. Maana wote tunajua kazi ya mashine ni kurshisisha kazi. Lakini kwenye kurahisha hiyo kazi kuna mwingine anapoteza kazi.
  9. vizier

    Kama tukihalalisha bangi

    Pombe na sigara zunamazara makubwa kuliko bange
  10. vizier

    Kama tukihalalisha bangi

    Zao la bangi limekuwa likilimwa sana Tanzania, na tumeona kwenye vyombo vya habari mara nyingi tu mashamba ya bangi yakiteketezwa. Ni ukweli usiopingika kuwa tumbaku inamadhara makubwa kuliko bangi. Nchini malekani baadhi ya majimbo yamesha haralisha kilimo hicho na baadhi ya nnchi za ulaya. I...
  11. vizier

    Je mashine zitakuwa mbadala wa mwanadamu?

    Tangu zama za mawe mwanadamu amekuwa nguzo kubwa ya maendeleo,(man power) ongezeko la watu kwa jamii mbali mbali zilifanya binadamu kuweza kuendelea na kufanikisha shughuli zao za kimaendeleo wakati huo. Lakini sasa zama nikama zinabadilika, mashine zinachukua nafasi kubwa ya binadamu kufanya...
  12. vizier

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    [emoji28][emoji28][emoji28], poa basi baadaye kama vipi. Let's end it here for today. By the way I got your point. Sisi wote tu jamii mmoja iliyo kosa upendo Ndiyo maana tunashidwa kuendelea. Nimejifunza kitu tokea kwenye point zako. N I really enjoyed your argument. Be blessed, baadaye.
  13. vizier

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. You quote it.[emoji28][emoji28][emoji28]
  14. vizier

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    It's night here let me sleep. Nikiamka tutaendelea kueleweshana.
  15. vizier

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    The continent was all close up before plate tectonics.
Back
Top Bottom