"Niko njia panda naomba ushauri jamani. Nilikuwa na rafiki wa kiume ambae kwa sasa siko nae, kisa ni siku moja alikuja kwangu kunitembelea akaondoka kwa minajili kuwa aenda kwa kikao cha harusi. Ili kuhakikisha mwenzangu kafika nyumbani salama nikapiga simu kwa bahati mbaya sikumpata. Kesho yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.