Endelea kuongea kwa mihemko.... vita yenyewe ya Libya inaonekana hukuifuatilia kabisa... hujui hata aliyeshambulia msafara wa Ghaddafi mara ya mwisho kabisa hadi akauwawa ni nani.
Halafu kwa akili yako mbovu usipojua adui anabomoa vipi lazima uwe muhanga tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa... USA & Washirika wake wameivuruga sana amani ya Dunia lakini leo hii Russia ndo analaaniwa vikali kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya 70% ya migogoro ya kivita Duniani imesababishwa na U.S.A pekee...
Halafu mbona watu mnakuwa wanafiki hivi..?? Hamuoni maovu yanayofanywa na U.S.A pamoja na washirika wake..??
01. U.S.A & NATO waliivamia Libya na kumuua Ghadaffi, watu mkapiga kimya. Leo hii Libya amani hakuna...
Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
Nchi nyingi za Asia na America ya Kusini pia huwa zina magereza yenye sifa mbaya sana... hii list inafikia hadi magereza 25.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.