Recent content by Vitendo

 1. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Kuna hii ; Swedish Institute Scholarships for Global Professionals (SISGP) Moja ya Scholarship rahisi kabisa kufanya application yake na kama una vigezo pia ni rahisi kupata. Pia hawahitaji TOEFL/IELTS. kazi inabaki kuwa kwenu; Swedish Institute Scholarships for Global Professionals | Swedish...
 2. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Hakuna shaka ...Andika nitakujibu kwa kadri nitakavyoweza.Karibu.
 3. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Unataka kujua nini?weka maswali yako yote,nitajitahidi kukujibu.
 4. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Siku hizi Materilas yote yapo Online,pia ukifanya registration wanakupa materials zaidi unaweza nunua vitabu yako ukitaka ila kwa hakika kila kitu kipo Mtandaoni.
 5. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Soma hiyo comment hapo juu kila kitu kipo hapo.
 6. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Nenda International School of Tanganyika.
 7. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Kwanza nikuulize kwanini unagopa kufanya TOEFL/IELTS?kifupi ili kupata scholarship nzuri hizo papers hazikwepeki na huo ni ukweli,tafuta pesa jiandae,weka mikakati ya kusoma na utapata hiyo 6.5(IELTS) au 90(TOEFL). Ila kwa haraka haraka ,kuna scholarships hapa ambazo unaweza kupata bila hiyo...
 8. Vitendo

  Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

  Unataka kuomba Scholarship gani?weka maelezo yako hapa tutakusaidia ili na wengine wapate manufaa..Huna haja ya kumlipa mtu hivi vitu ni vya kusaidiana bure kabisa.
 9. Vitendo

  Nahitaji external hard drive ya pc!

  laki 2.nakuuzia seagate mpya.
 10. Vitendo

  Je, unapenda kujifunza kuogelea?

  Pool yenu ipo wapi?gharama kiasi gani?kwa muda gani?
Top Bottom