Kuna changamoto ya mabus ya mikoani hususan yanayosafiri usiku.. nimewahi kupakia mabus kama Kitumbo(Dodoma - Dar) na Kimotco (Dodoma - Arusha) kwanza kabisa haya mabus ni kama daladala maana yanasimama ovyo na kpakia watu wengi had wengine wanasimama. Mbaya zaid haya mabus huwa hawafanyi...
Nilicreate account kwenye chuo cha NIT ili nimuombee mdogo wangu chuo round ya pili lakni nilipata shida ya kupata control number ya malipo ili niweze kuendelea na hatua nyingine... Lakin kila nkupiga namba ambazo wao wenyew NIT wameziweka kwenye mfumo wao(https://oas.nit.ac.tz) zimekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.