Recent content by vitalis gaspar

  1. V

    JamiiForums Tanzania Afariki Dunia Akitengeneza Umbo Lake

    Rest in peace.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kituo cha Himo ondoa huyu askari mwenye nyota moja na trafiki walipo barabara ya Marangu karibu na mwanzo wa katani

    Kama ushahidi unao uweke hadharani.Hatua ichukuliwe dhidi yao siyo kulia lia tu. Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app
  3. V

    JamiiForums Tanzania Profesa Mukandala: Siyo watu wote wanataka katiba mpya, wengine wanaitaka hii iliyopo ila ifanyiwe marekebisho kidogo

    Mchakato wa katiba uanzie rasimu ya katiba pendekezi ya Warioba.Kwani hayo ndiyo maoni na mapendekezo wananchi. Napendekeza mchakato wa katiba uanzie hapo na tuweke time frame ili kabla ya 2024 tuwe na katiba.Tunapoteza pesa na muda kwa kuwa kamati hii.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Hizo ni(domestic flights) local route siyo rahisi kwa international operator kupewa leseni kufanya biashara hiyo.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Naunga mkono hoja kwa asilimia [emoji817].Naona mdororo mkubwa wa videndo kwenye maamuzi mbali mbali yanahusu ardhi.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    Hata wakichukulia asilimia kumi Zanzibar hakuna uwiano na idadi ya watu wa Tanzania bara.Unaposema tuwaongezee asilimia sikuelewi una maana gani?
  7. V

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

    Katiba mpya
  8. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Very sad inauma sana.Rest in peace Mamaa.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai bado una nafasi ya kutubu na kujirudi

    Awe na subira tunamhitaji bado
Back
Top Bottom