Recent content by Visitatanzania

  1. V

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Mpigie mwenye namba hii 0714755582, mweleze tatizo hili. Nimeshaona akisaidia watu wenye matatizo kama hayo na wamepona.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Unaweza kuniunganisha na mojawapo ya hizo kampuni au kunipa anuani zao?. Thanks
  3. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Nitakutafuta mkuu kwa maelezo zaidi.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Bado nahitaji ushauri wenu jamani
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Kivipi? na ni nani hao wanaotoa hayo mashipa?, nipe uzoefu wako.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Dar es salaam Mkuu, karibu.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Nashukuru.Bado nawangoja waje
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Wakuu, Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya udalali hasa wa nyumba, viwanja, magari na electronics zingine. Nahitaji kujuwa: 1. Ni shilingi ngapi zinahitajika ili kusajili kampuni ya namna hii? 2. Ni vitu gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kupata usajili wa kampuni? 3. Moja ya kazi...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nina 150,000/= nahitaji 21 inch flat screen tv

    Wewe unayo ya bei gani? hapa chini mwenzio ana ya 250k, wewe je? ni pm email yako
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Dada, Mungu akubariki sana sana sana, hivi ninavyoandika kwangu wife mambo yameshajipa ni karibu wiki sasa. Ninakuandalia zawadi babu kubwa na nitakuletea hivi karibuni Mungu akulinde. Hongera pia kwa jf kwa kutuweka pamoja.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Comparing Tanzanian mobile internet costs

    Mkuu, safi sana. Naomba na mimi unisaidie KEYS za artisteer 4. Ahsante sana.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Website designing

    :playball: Mkuu, nakushukuru sana hata mimi, je nitapata wapi keys za hii software?
  13. V

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ukimwi unaweza kujificha.?

    Upo mkoa gani habari ya mjini?
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa masuala ya simu na tv

    Nimekupata mkuu, muda wowote kesho 08/11/2012 nitakupigia.
  15. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa masuala ya simu na tv

    Habari zenu wakuu, Nina mambo mawili hapa: 1. Nina mjomba wangu mmoja hapa dar ana guest house yake ina rooms kama 20 hivi na anataka kufunga simu kila chumba zile zisizo hela (vocha) ili kuwasiliana ni kama radiocall vile sijuwi, sasa anahitaji kujuwa wapi atawapata watu wanao husika na kazi...
Back
Top Bottom