Recent content by Vision one

  1. Vision one

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Biashara inatuma kuliko ajira serikalini,afu kosa moja tu linaeza kukupotezea biashara yako uloikuza ata kwa miaka10
  2. Vision one

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasoma historia mbalimbali kwa miaka 6, sasa nimehitimu, kwahyo naombeni maswali ya kihistoria yoyote au jambo lolote unalotaka kufahamu

    Mi naomba kufahamu ukweli kuhusu pyramid kuanzia sababu mpaka lengo la kujengwa kwake,pia wajenzi mpaka sayansi ilotumika pale.
  3. Vision one

    JamiiForums Tanzania Hizi ni busara chache ambazo nimejifunza kutoka kwa watu walionizunguka na sikuwahi kukutana nazo kwenye kitabu chochote

    Pia kuonesha tabasam mbele za watu hata kama matatizo yamekujaa.
  4. Vision one

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    😁😁😀Kumbe mabosi hawatumii jf??
  5. Vision one

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    Tungempata bosi hata mmoja humu angesaidia kujibu hili vizur🙂
  6. Vision one

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    Labda kwakua wanataka wapate muda mwingi wa kufikilia,sababu ngumu sana kua na mafanikio bila kua na muda wa kuwaza mambo.
  7. Vision one

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Ubarikiwe🤜🙏najifunza mengi kupitia ww
  8. Vision one

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

    Mkuu kwangu tatizo ni banda nataka nifuge kuku ila wasiwe wa kutoka nje asa je gharama za banda zitakuwaje ndani ya 300000
  9. Vision one

    JamiiForums Tanzania 500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

    Hiyo lugha duuh changamoto ila kwa wasomi faidikeni namyafanyie kaz hay
Back
Top Bottom