Hapo bado hujasidia kitu. umeshawahi kukutana na mgonjwa halafu ukamwambia kua amejitakia mwenyewe ugonjwa? wangapi wanasali na bado wanafanya maovu !?! remember no one's perfect kila mmoja anamapungufu yake, mimi hili ni langu. Ibada naenda na ninahofu ya Mungu, ningekua sina hofu ya Mungu...
Omba siku moja maongezi nae ya faragha siku moja au siku hiyo hiyo kabla hujafika nyumbani (namaanisha kwa kumtext), hii itamjenga kisaikolojia waweza mtoa out au hata hapo hapo nyumbani; mueleze jinsi unavyojiskia kwake then muulize shida iko wapi kwa nini anakufanyia hivyo labda kuna mahali...
Habarini wana jamvi,
Jamani naomba msaada wa ushauri,
Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya...
Kama humtaki mwambie mapema usimpotezee muda, ni bora ajue ajiweke kando na mwisho wa siku atakuja kumpata anaejua kupenda sio wa hit and run. :amen:.............. Nawasiwasi isije ikawa ni wewe nnaejifanya wangu ndo umekuja kuanika huku yako ya moyon :confused2: .
bado u binti mdogo, jiheshimu si kila mwanaume ni wa kuvulia nguo. Usishawishike kwa maneno yao. Jitulize kwa mmoja acha tamaa mdogo wangu kama umeshindwa kuvumilia,
Temea mate chini my dia omba yasikukute, wasichna wote waliozaa hawana tabia mbaya, na ninyi wanaume ndo mnaowazalisha na kisha kutelekezana. Pole mtoa mada, nakushauri ukae nae umwambie dukuduku lako kuwa hukupendezwa na vitendo vya yeye kwenda na baba wa mtoto shule bila kukutaarifu na pia...
Unajua maana ya kua chini ktk vitabu vya dini kweli? mke kuwa chin maana yake ni kumsikiliza mume, atimizie mume mambo muhimu kama kumpikia vyakula yote vya kiroho na kimwili. Mke si wakula mifupa wewee ; bas mtakuj kusema a girl anaelala kwenye zuria mkaka kitandan ndo wif material, haya mambo...
Ha ha ha aaaaaaaaaaa , lakini saying baby am coming na unafika ukweli nadhan ni nzuri, na mwenza anakua anajua kua unafika pia miguno kama unafikishwa vilivyo why not kutopata miguno jamani eeeeh! hii kitu inakuja automatic tu , labda kama mwenza hajiwezi; ila hayo mengine mmhhh, napita tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.