Recent content by Visacard

  1. Visacard

    Kumbe mimi sio shoga? Ilikuwa kidogo tu nitumbukie huko

    Hahahaha wanakosea sana kudanganya kwamba hili tatizo halina tiba au haliponi hizo ni njama zao
  2. Visacard

    Kumbe mimi sio shoga? Ilikuwa kidogo tu nitumbukie huko

    Nitafurahi sana hapa nikipata kitu cha kunipa confidence zaidi
  3. Visacard

    Kumbe mimi sio shoga? Ilikuwa kidogo tu nitumbukie huko

    Hivyo nimeacha kabisa hadi sahivi ninachanganyika na washkaji kijiweni sina kabisa swagger za kike kwa sasa
  4. Visacard

    Kumbe mimi sio shoga? Ilikuwa kidogo tu nitumbukie huko

    Kwa muda mrefu niliteswa na hisia za kutamani wanaume wenzangu nimeishi na hii hali kwa muda mrefu sana Nilikua sina hisia kabisa na wanawake yaani nilikua nikisogelewa na mwanamke natetemeka mwili nzima Sikuwahi kufanya mapenzi na mwanamke kwa miaka mingi sana tokea nimebalehe na hata...
  5. Visacard

    Hakuna atakayefanikiwa kuihujumu Tanzania

    Umeme kumbe umeanza kusumbua zamani
  6. Visacard

    Msaada:Sehemu ya kula biriani kesho au vyakula dsm

    Guys nisaidieni sehemu wanapouza biriani nzuri kwa dsm kwa siku ya kesho jumatano Sio biriani tu au panauzwa pilau au michemsho ya samaki au nyama za mbuz ngombe au kuku Ila pawe bei za kawaida za kati yaani bei ya sahani ianzie elfu 3 , elfu 4 hadi elfu 5 kwa sahani km ni kisinia basi isizidi...
  7. Visacard

    Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

    Huu ushauri ni bora kabisa
Back
Top Bottom