Ndio zipo.
Tsh. 35,000
Dar, Kariakoo mtaa wa Mchikichi & Livingstone.. Mwezi ujao tutakuwa Likoma jirani na kanisa la KKKT.
Pia tunatuma mikoa yote.
Karibu.
pindi zinaingia mwaka jana rejareja nilikuwa nauza 40,000..
ila zimeshuka bei, ni vile tu dollar imepanda nikapandisha tena hadi 35,000 kwa rejareja. ila ukihitaji jumla ziko na bei yake na unapata muda utakao.
kwa 35,000 unapata ndani ya muda utakao, iwezekanavyo. rangi ni nyeupe na nyeusi.
kweli ni nzuri ukifananisha na earphones nyingi za bei hiyo, hata wateja wa rejareja walikuwa wananunua kwa kurudia yani jamaa zao wakizijaribu nao wanazitaka. kwa upande wangu zikaniulia soko la lenovo xt92 ambazo zinafanana kiasi ila chaji na bass gm2 pro ni zaidi. ila bei zinaendana.
Ila...
Lenovo GM2 pro ziko vizuri kwa pods za bei hizi, nimeziuza toka mwaka jana na nilikuwa natoa warranty. ila tofauti na aina nyingine ambazo nimeuza, hizi hazisumbui kwa zaidi ya 99+%, hiyo 1% nimetoa kwa hakiba tu.
kesi nliyowahi kupata ni moja tu, nayo ilikuwa kabla mteja hata ajaanza kuzitumia...
Ya pili kama ina tekelezeka.
japo hiyo ya pili naona kama unamuumiza huyo unaye mpa hela.
1% ni kubwa kwa kila siku kwa mwaka.
Ni ngumu kukulipa.
yani ndani ya mwaka
umpe mtu 2.5M
arudishe 9.1M
Hapo na yeye awe kanufaika na huo uwekezaji wako.
Mfano
Umempa Usiye Mjua 2.5M
Usiye Mjua kanunua...
Na ukiwakuta wanatafuta wateja bla bla kibao, utawasikia mizigo inatoka mara mbili kwa wiki au kila wiki mara moja, sasa jiroge uwe na mzigo wa haraka.
Agiza ila usitarajie sana kupata ndani ya siku walizo ku bla bla japo kuna muda(mara chache) huwa inatokea unapata ndani ya Muda.
Uzoefu wangu kwa uchache.
nina miezi mitatu, nimeuza bidhaa 300+ kupitia online.
NILIYO KUTANA NAYO
Wateja wengi wanahofu ya kupigwa hivyo wateja zaid ya 150 niliwaruhusu wanilipe baada ya kupokea mzigo Kati yao 4 wakanipiga(hawajanilipa kabisa), 2 wakajipa punguzo wakalipa pungufu ya kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.