Alikua Tanzania one Form four na Form six
Ni zao la Ilboru sekondari
Mwaka 2004 alifanya Mahojino na Gazeti moja la Arusha alipotangazwa kuwa Tanzania one http://www.arushatimes.co.tz/2004/17/interview.htm .
Achukua fomu ya kuwania ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi
Na huyu aliyeenda kabisa katika chuo kutangaza nia ya kugombea Urais??? http://edition.cnn.com/2015/03/22/politics/ted-cruz-election-2016-liberty-university/ .Acheni chuki na kutokujiamini...
Mbona na mimi nafanya kazi na hao waliosoma vyuo vyenu mnavyo visifia ni wa kawaida sana hakuna kitu?? Mtoa post, Wale ni wanavyuo wa Dodoma ila ili upate umaarufu hapa ukaamua kuhusisha moja kwa moja na Chuo kinachokunyima usingizi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.