Wakuu samahani, naomba msaada kama naweza kupata mkopo wa 3M mahali nikawa nalipa kwa awamu, Mimi ni mtumishi wa umma bado sijathibitishwa kazini nina miezi 7 kazini
Nilikua kwenye nyumba moja ya kupanga pale Moro kichangani, bill ilikua inaenda vizuri ghafla ikaanza kujidouble.
Mwezi huu ikija 20 mwez ujao inakuja 40 mwezi unaofuata 80.
Tukalalamika kwenye mamlaka wakasema watatuma fundi aje aangalie bill ikaendelea kuchanja mbuga na fundi haji fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.