Recent content by Village Elder

  1. V

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Mtu mwenyewe wa kushauri, hata kuandika hujui! Inashangaza sana. Hebu rudi shule kidogo, wewe chawa!
  2. V

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Wewe Chawa, bado hujapateuliwa kwa UDthiii?
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Niko njia panda, kila maamuzi ninayotaka kufanya naona yana athari

    Habari! Pole kwa unayopitia. Ndoa ndoana, walimwengu walisema! Miaka kumi katika ndoa na matunda ya watoto watatu, hongera! Kwa ujumla, ni kwamba mke haitaji tena ndoa, kakuchoka. Nadhani, kwa mtazamo wangu, umechangia kumfanya aiendeleze tabia hii. Umekuwa mpole sana kwake kiasi cha kukufanya...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    Duh! Hatari, anatutishia mbaya sana! Lakini enzi ya JK hawa jamaa wa M23 walichakazwa mbaya sana!
  5. V

    JamiiForums Tanzania IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

    Nduu yangu, andika kwa lugha yako, kizungu hukijui, unajiaibisha
  6. V

    JamiiForums Tanzania "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Kwahiyo ulipende aseseme "WANAUME WENZAKO" ama?
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Asante Mzee wa Kitalamanka
  8. V

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu alalamika kunyimwa haki ya kuabudu gerezani

    Unadhani yeye ni UJI WA MCHELE kama wewe?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

    Basi kwa vile unampenda, ni vema ukakubaliana na hali halisi kuwa yuko hivyo! Jifunze kupotezea vile vitu unavyoona vinakukera.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

    Wewe unacheza na Mbulu United?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

    Hii ni hulka (personality)yake. Ni ngumu kubadilisha hulka ya mtu, kikubwa ni wewe kubadilika ili uendane naye!
Back
Top Bottom