Na mi sio kilaza by the way nimeso mzumbe o level na advance level pia udsm nimepata 1st class pia sio kwamba sina kazi kazi ninayo ndo maaana nkasema 2weeks/month. Umeelewa nataka nisaidie watz
habari wana JF
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28,elimu yangu ni Bsc in mining engineering.kwa sasa natafuta kazi ya kujitolea hasa hasa ya kushika chaki.ninaweza fundisha masomo ya maths na physics.nimeamua kufanya hivi kwani ninahitaji saidia watanzania wenzangu kwani kukaa bure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.