Jamani JF kila kitu kinafanyika kwa sababu ajali za barabarani hatushangai kama ilivyo foleni dar hii .Lakini watu wameeka mazoea ya kusikia ajali tu na sababu hizo hizo .Xa kama madereva wakijitambua na kujua huko kwenye gari au mabasi kuna roho za watu .Na mazingira ya road contractors...
Huyo mtoto ni mtoto wa ajabu sijawahi kusikia but wazazi au walezi jitahidieni kumkuza vizuri kielimu n mazingira mazuri ndo viongozi wenye malengo na nia za baadae kama huyo mtoto:-)
Mtu mbahili sidhani kama itakufanya utajirike ukiwa mbahili kwenye kutoa utakuwa mvivu hata kufikiri....kwa kufanikiwa unatakiwa ujitoe wewe frika yako na kipesa ili uone faida baadae n utajirike pia kama
Matajiri wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.