Ongezeko la ajali za barabarani

Ongezeko la ajali za barabarani

jamiimemba

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
156
Reaction score
39
kumekuwa na ongezeko la ajali za barabarani kwa huu mwaka mfano mzuri kwa wiki hii tu kuna ajali nying ambazo zimetokea na weng wamepoteza maisha yao mfno basi la majinja,princess muro,fm safari, luwinzo,mbinga express n.k yan kwa kwel inasikitisha sana watu wanapoteza uhai wao bila ya hatia yoyote na unakuta mtu alikuwa anategemewa na wengne hata hawakuanza kula maisha ndo walikuwa wanakaribia ku graduate alaf mtu anapoteza maisha kisa uzembe wa madereza coz mi naamin gari likiwa katka mwendo wa wastan hata tairi likipasuka dereva anakuwa na uwezo mkubwa wa kulicontrol lakn akiwa katka mwendo kasi kikitokea itiraf yoyote lazma gari ipate ajal ya nguv sasa natoa wito kwa sote tunao safir mara kwa mara aidha kikaz au shughuli za kibiasha mkiona mwendo kas mkemee wote kwa nguv zote maana we ukipata ajal ukivunjika mguu dereva hakuchangii hata shlng 100 kwenye matibabu yako zaid mkionana atakupa pole tu sasa chonde stop accidents, say no to high speed
 
changien wadau nini tufanye ili kupunguza ikiwezekana kuondoa kabisa hii janga.
nb: jali uhai wako
 
barabara...ovyo...warekebishe kwanza barabara

nimekupata mkuu hlo ni muhimu la kurekebisha barabara lakn wakat tunasubiria hlo madereva wetu inabid wajue kwa wanaendesha magari kwenye barabara mbov au za mashmo so itabd wachukue tahadhari mapema co waue alaf kila cku waseme barabara mbov mi nais watu wataisha maana hii serikal tuliyo nayo mpaka wazirekebishe hz zote c kizaz hik mkuu
 
nafikiri tatizo kubwa ni madereva ambao hawajitambui na hawathamini maisha yao wala abiria waliowabeba kwa kutokuzingatia sheria za barabarani. Ajali zitapungua tu pale ambapo madereva wataona umuhimu wa kufuata sheria wakiwa barabarani. Kila ajali inayotokea hasa hiz za mabasi lazima utasikia dereva alikuwa mwendo kasi, alikuwa anaovertake. Yaani kila siku story ni hizohizo.

kuna watu wanasema barabara mbovu ndio chanzo cha ajali, ni kweli barabara zetu mbovu lakini kama dereva anapita kwenye hiyo barabara mbovu kila siku, ina maana anajua wapi pabaya na wapi pazuri kwa hiyo anajua kuwa inatakiwa aendeshe gari kwa umakini mkubwa na speed ya wastani. Madereva vichaa ndio wale ambao wanajua kuwa barabara ni mbaya lakini anaendesha gari kama yupo kwenye mashindano ya formular one. Sehemu kuna kona haoni mbele lakini unakuta anaovertake tu. Hatuwezi kuepuka ajali hadi hawa vichaa waishe wote.

Nafikiri serikali na wadau wengine lazima wafike mahali waangalie namna na kushughulikia tatizo madereva wajinga na wasiofuata sheria za barabara. b
 
umesema kitu chamsing sana mkuu
 
sio mambo ya uchaguzi mwaka huu,hizo ni kafara za wanasiasa,hizi ajali zinakwenda sambamba na mauwaji ya albino,mwaka huu yamepamba moto
 
sio mambo ya uchaguzi mwaka huu,hizo ni kafara za wanasiasa,hizi ajali zinakwenda sambamba na mauwaji ya albino,mwaka huu yamepamba moto

wengi wanaweza kubeza hoja hii lakini................
 
Jamani JF kila kitu kinafanyika kwa sababu ajali za barabarani hatushangai kama ilivyo foleni dar hii .Lakini watu wameeka mazoea ya kusikia ajali tu na sababu hizo hizo .Xa kama madereva wakijitambua na kujua huko kwenye gari au mabasi kuna roho za watu .Na mazingira ya road contractors wanaojenga basi sababu n ajali kuxahau kabisa
 
Back
Top Bottom