Recent content by victorshio

  1. victorshio

    Freeman Mbowe aitwa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam

    Nchi aiongozwi kwa miemko au matamko
  2. victorshio

    Freeman Mbowe aitwa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam

    Nimakosa sana nyapara wa barabara kuongoza nchi
  3. victorshio

    Freeman Mbowe aitwa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam

    Wewe ndio kiherehere wa Kwanzaa ndio manna imekuingia na ina kuumiza Hapa UKUTA TUU
  4. victorshio

    Kikao cha BAVICHA; Edward Lowassa mgeni Rasmi, alaani ajira za kubaguana serikalini

    Kuna walio imba ngonjera nyingi sana kwamba mwisho wa chadema ni mwaka fulani lakini wao ndio umekuwa mwisho wao nakumbuka ya mtu wakale kule bunda yuko kweli
  5. victorshio

    Kikao cha BAVICHA; Edward Lowassa mgeni Rasmi, alaani ajira za kubaguana serikalini

    Bavicha imara chama imara ongereni sana
  6. victorshio

    Kwanini BAVICHA wanakwenda Dodoma?

    Demokrasia nigarama unaweza kuvunjwa hata na jambaz bora tuvunjwe tuki tetea haki kuliko kupokwa haki hio siku ndio mtajua tofauti ya makamanda na makada
  7. victorshio

    Kwanini BAVICHA wanakwenda Dodoma?

    Matamko ya ovyo ovyo mazuio ya kijinga yasio kuwa na tija kwa taifa ndio yataleta machafuko kama polisccm watashindwa kumzibit mpiga sumari sisi tuta wasaidia
  8. victorshio

    CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita

    Tulia tomaso ww utaelewa tu hata kwa bakora dawa inapenya taratibu
  9. victorshio

    Sintofahamu ya alipo makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Ndg. Sosopi

    Naona kila mmasai sasaivi ni adui wa serikali au mnaogopa mzim wa lowassa? Polisccm aiwezi kuturudisha nyuma au kutufunga mdomo kwa tishio la kutufunga eti anatetea waovu ivi wewe unajua watu waovu Kweli walio mteka Dr Olimboka walio mua Dr mvungi ndio wema kwako magereza nisehem salama sana...
  10. victorshio

    Sintofahamu ya alipo makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Ndg. Sosopi

    Tumezalisha vijana wanafiki wasaka tonge kwa watawala polis nao ili apandishwe cheo au wawekwe kwenye orodha ya udc Kuna siku neno la Mungu lita simama nae Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgum ili utukufu wake uweze kudhirika
  11. victorshio

    Sintofahamu ya alipo makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Ndg. Sosopi

    Nchi hii kiukweli imepoteza dira Nchi inaongozwa kwa matamko ya mtu mmoja. Hakuna kitu ambacho auta fanyiwa ukiwa kinyume na serekali hii
  12. victorshio

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Sisi ndio wadau wenyewe pesa inatafutwa na tuna wekeza kwa vijana wetu wanao jitambua
  13. victorshio

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Ni mtu wa watu mkuu usipo mkubali mdomoni moyo uta kubali wenyewe
  14. victorshio

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Kumbe ujui chaso nn kumbe uko kundi la bint wa magufuri
Back
Top Bottom