Wakuu natumia infinix note5 Asee ni simu nzuri tuu inapiga kazi fresh ila shida nnayokumbana nayo ni kwamba baada ya muda inahalibu picture zinakua thunmbair hazionekan kama ilivopiga naomba mwenye kuweza kudeal na hilo anisaidie plz
Kwer kabisa ila io nusu saa ni kubwa sana kwa mtu mwenye uharaka na kuhitaji huduma katika kipindi icho jaman tupendane tujaliane usiangalir Adha yako tuu nawengine pia wanamahitaji kila mtu na iman yake but barabara sio kwaaajiri ya ibada mara mia hata wangetafuta uwanja karibu
Sent from my...
Amebadlika inamaana sio yule ulompenda kawa mwingne sawa na wale ambao hukuwaona ukamwona yeye kawa fidodido sio yule sweetheart wako ulompendaga wewe sasa unahangaika na nini mweke kando wenda utampata kama yule uloompendaga kwa badae vipi hapo
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.