Recent content by VictoriousYouth

  1. V

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata amtungia wimbo mchumba wake

    Muokoke ili mpate waume wema, sio kuibukiana tuuuuu! Matokeo munaumizana
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa wasio na ajira

    Ni jambo jema sana, mm hilo wazo nililifikiria tangu niko chuoni mwaka jana 2013, bila kusita nikaanzisha kikundi kiko hivo hivo na operational divisions kama kilimo, mifugo, microfinancing, social caring, mazingira na cheti ninacho cha usajiri...! Mm niko dar ila makao makuu ya kikundi kiko...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mwenye tetesi Mchakato TRA

    Naomba mmeanza kuleta michezo ya bata humu cku izi na kulifanya jukwaa liwe si sehemu ya kupata updates tena..! mbona mnaleta utani kwenye mambo ya msingi mmekosa kazi ya kufanya....., kuweni serious bhana!!
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mwenye tetesi Mchakato TRA

    Ha ha haaaaaaaa, eti mmeanza kazi leeeeeeeeeeeeoooooooooooooo!!!!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mwenye tetesi Mchakato TRA

    Huwa mda c mrefu mpaka lini sasa watu wanataka mambo fasta fasta wajue kingine cha kufanya, sasa mambo ya kuwekana pending sio michongo bhana watoe sisi tunataka tujue our direction...!!
  6. V

    JamiiForums Tanzania Updates from TRA

    Thanks wadau yaani hapo ni kupiga msuli wa maandalizi tu....!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Updates from TRA

    Jamani hawa TRA vip mbona wako kimya tuu, mpaka lini wanashortlist? Anaejua
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini TPDC

    Your lost, GOD is certain than anything easy!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Interview-PWC

    Walishaita, tulifanya tarehe 17 May 2014
  10. V

    JamiiForums Tanzania Interview-PWC

    Jamani naomba kujua aliyepata taarifa kuhusu interview ya PWC tuliofanya juzi kati.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Updates Tanzania Graduates Association

    I would like to know how the association will help graduates..? because here the problem is that they are not employed, what are strategies set by the association to make these people get employed..? and what happens to someone's membership after having employed....?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Jobless-Graduates Association Press conference

    Mimi mbona tiyari, nilishaga toa wazo kama hili, ila nikaona vijana sisi wenyewe tuna matatizo makubwa sana kama kutaka kuona matokeo ya kitu kabla ya kitendo, kutaka mafanikio ya haraka*2 vitu ambavyo vinatugharimu kweli! ila namshukuru Mungu mpaka sasa nina kikundi changu na nilishasajiri kama...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Updates za TRA na CMSA

    Hello wanaJF, naomba kujuzwa juu ya nafac za kazi za hawa jamaa wa TRA na CMSA za mwezi uliopita, wana-shortlist lini kama kuna mwenye kujua/pre-informed. Thanks in advance
  14. V

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    abakorakamo@ MUNGU alivotuumba alitupa vitu vitatu mhimu ambavyo wengi hawavijui: 1. Independent Will, 2. Guiding Conscious, 3. Freedom of Choice. Hivi vitu ni vizuri sana ukivitumia kadri ya mapenzi ya MUNGU, ila ni hatari sana ukivitumia kadri ya mpango wako! Ukibisha kamuulize nini...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    abakorakamo@ MUNGU alivotuumba alitupa vitu vitatu mhimu ambavyo wengi hawavijui: 1. Independent Will, 2. Guiding Conscious, 3. Freedom of Choice. Hivi vitu ni vizuri sana ukivitumia kadri ya mapenzi ya MUNGU, ila ni hatari sana ukivitumia kadri ya mpango wako! Ukibisha kamuulize nini kilimpata...
Back
Top Bottom