Tulejee kwenye wimbo wao"CCM ni ile ile..ooh, tumejipanga mwaka huu MTAISOMA...mtaisoma namba".
Hakuna bud kushanga maana chungu ni kile kile na wapish ni wale wale, jambo hilo lingetendwa na wapinzani ama kabwela namba ingesomeka lakin kwa kuwa ni wao, namba tutaisoma vyakutosha.
Chama mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.