Recent content by Victor RM

  1. Victor RM

    Lissu: Serikali ya Magufuli wanahusika na jaribio la mauaji dhidi yangu. Sooner or later, ukweli utajulikana

    Habari nyingine unasoma hadi moyo unauma Get well soon MP Tundu Lissu
  2. Victor RM

    Katiba Mpya sio ombi ni lazima , viongozi wa Serikali wanapaswa waelewe hivi

    Katiba mpya sio takwa la chama cha CCM na viongozi wa serikali waliopo madarakani.... Ni takwa la wananchi ndio maana walijitoa kupendekeza kila hitaji la rasimu ya katiba lililosimamiwa na Mzee Baregu, Jaji Warioba na wenzie kina Polepole n.k Katiba mpya ni takwa la wananchi wa jamuhuri ya...
  3. Victor RM

    Mwambieni Lau Masha

    Mwambieni Lau Masha sisi Chadema hatukuwahi kuunga mkono wala kuhubiri utekaji watu( Ben-Rabiu Wa Saanane ),uuwaji(coco beach,mto ruvu kule bagamoyo)/upigaji watu risasi mchana kweupe na watendaji wa haya kutopatikana hadi leo na hutujui wapi na nini kimefanyika kuhusu hawa ndugu zetu na wala...
Back
Top Bottom