Katiba Mpya sio ombi ni lazima , viongozi wa Serikali wanapaswa waelewe hivi

Victor RM

New Member
May 1, 2017
3
45
Katiba mpya sio takwa la chama cha CCM na viongozi wa serikali waliopo madarakani....

Ni takwa la wananchi ndio maana walijitoa kupendekeza kila hitaji la rasimu ya katiba lililosimamiwa na Mzee Baregu, Jaji Warioba na wenzie kina Polepole n.k

Katiba mpya ni takwa la wananchi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na sio ombi la watu wachache kwamba wengine wanaweza amua kwamba haihitajiki.

Tunataka mchakato wa katiba mpya uendelee pale ulipoishia.

Victor RM
03rd March 2018
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom