Recent content by Victor Nicho

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa nafasi vyuo vya afya!!

    Habari kaka Mimi nimetumia SMS kwamba nimewekwa pending lakini nikiangalia kwenye profire nikaconfirm selection kwenye status imendikwa SELECTED arafu kweny confrm YES ... Sijamuelewa kwa kweli naomba unieleweshe hapo kaka?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Diploma of medical lab

    Hiyo system imeanza mwaka huu Lakin kwa wale walipitia certificate na ni vyuo vichache ambavyo comatose system hii ki moja wapo n singida
  3. V

    JamiiForums Tanzania Diploma of medical lab

    Yaaah! Brooo
  4. V

    JamiiForums Tanzania Diploma of medical lab

    Habari na poleni na majukum mbali mbali Naomba kwa anaye kifahamu chuo cha Maabara kilichopo DSM kinatoa diploma ya mwaka mmoja kwa anaye kifaham anitupie data hapa full ma anwani na contant msaada plz
  5. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kuhusu medical laboratory

    Inategemeana na bas zako broo! Arafu saiz kuna vyuo vingine vya private Lakin vimesajiriwa na nacte na upiga paper Kutoka serikalin na post moja moja
  6. V

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya ku-install whatsapp kwenye tecno P3

    Naomba msaada simu yangu tecno p3 inagoma ku install whatapp.....kila nkidownload inaniambia THERE IS A PROBLEM PASING THE PACKAGE.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya antivirus for pc 2015

    Mwenye link ya antivirus ya kaaspersky 2015 +crack anisaidie
  8. V

    JamiiForums Tanzania Best movie 2014

    Tupia movie kali za kusisimua za mwaka 2014 ambazo hauta zisahau na pia na kwako unaona ni best movie kwa mwaka 2014 angalau tano tu siyo za kibongo za mbele
  9. V

    JamiiForums Tanzania To update from window 8.0 to window 8.1 msaada

    Msaada jamani nataka Ku update kutoka window 8.0 kwenda window 8.1 .naomba msaada ili niweze Ku update my PC nimejaribu kuingia kwnye store inaniambia this iz not avalaible on your PC...lakin hili tatizo limenza baada ya Ku activate windw
  10. V

    JamiiForums Tanzania Jamaica raggae songs

    ,...thnx xo much broo nimeipata kama unazo nyigine dizan kam hii nitumie kaka
  11. V

    JamiiForums Tanzania Jamaica raggae songs

    Kuna nyimbo moja hiv naitafuta japo sifahamu jina na walioimba lakin nakumba baadhi ya maneno kama vile WHEN I CRYING AND SMILE hiyo ngoma n wajaimaca raggae jamaa moja anasuit nyembamba hiv kwa yoyote ambayo anayo anitumie au snipe link niweze kuidownload n ya kitambo ....au mweny link ya song...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta game nzuri

    Za PC kaka
  13. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta game nzuri

    Jaman naomba msaada kuna game moja HIV liko kama jamaa anakwenda kumkomboa binti ambaye alikuwa ametekwa kwa yoyote ambaye anarifaham jina aniambie ili niweze kudownload ..au kama kuna linguine nzuri anaimbie
  14. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Iphone 5s Original

    Aaaah! Hamna hata ya dili cyo mbaya ili mradi iwe frsh
  15. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Iphone 5s Original

    Jamani nataka kununua I phone 5s kwa yoyote ambayo anayo anipigie cm my no;0752369981
Back
Top Bottom