Recent content by Victor de prince

  1. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Sikia.... Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Lete Raha vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk. Akaachana nayo. Afu wewe eti unataka ufundishwe biashara ambayo hutaki kupoteza hela. Kaa na hela zako tu...
  2. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    ebu kasome uelewe about sports trading ipo vipi coz unaandika usichikijua na mawazo yako mgando Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  3. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    unaijua power ya network marketing? Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  4. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Kama kuna kampuni ya OVYO, SCAM, TAPELI, ISIYOLIPA, lkn inatoa zawadi magari 35, saa zaidi ya 700, simu zaidi ya 330 kwa wadau wake tena wakilindwa na vyombo vya dola kwa usalama wao, nadhani hiyo ndo kampuni ya kujiunga nayo. Kuliko kujitenga nayo ukabaki na ufukara wa mawazo(maana kufikiri na...
  5. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Register here - D9 Club of Entrepreneurs Cadastre-se aqui - D9 Clube de Empreendedores
  6. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    :[emoji298]D9 Clube imeanzishwa kma shule yenye madhumuni ya kuwafundisha watu kuwa professional Traders ...yaan wataalamu wa kununua na kuuza hisa haswa za michezo..D9 wenyewe ni shule tu lkn inashirikiana na kampuni inaitwa Betfair hawa ndio walimu au wataalamu wa ku trade.. [emoji298]Mr...
  7. Victor de prince

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    HAYA NDIYO MATANGAZO YAO: D9 CLUB IN TANZANIA WEKEZA UPATE FAIDA MARA DUFU NDANI YA D9 CLUB D9 CLUB au D9 SPORT TRADING> ni biashara ya kuuza na kununua hisa za michezo kimataifa ambapo mwanachama anapata faida kila wiki kulingana na hisa zake kwenye kampuni na kukuza pato lake na taifa pia...
  8. Victor de prince

    Nipe pesa kiasi uchukue Laptop safi kabisa.

    0625794585 nicheck whatsapp nikuuzue laptop nzuri
  9. Victor de prince

    Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    YE TEKNOLOJIA MPYA AINA YA "CRYPTOCURRENCY"<br /><br />HISTORIA FUPI YA FEDHA AINA YA "Cryptocurrency" <br /><br />Uvumbubuzi/iinovation ya fedha aina ya cryptocurrency ilianza mwaka 2009 baada ya anguko la kiuchumi la dunia la mwaka 2008. Mwanzilishi anaitwa Satoshi Nakamoto ambaye kimsingi...
  10. Victor de prince

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Heka moja unaweza pata magunia mangapi
Back
Top Bottom