Ivi njie REDDS ndo zawadi gani ya kumpa MISS TANZANIA eti NOAH, kwakweli zawadi haijjafanana na hadhi ya mashindano na gharama ya kiingilio Tsh laki moja< mnashindwa kuona wezenu walitoa zawadi ya aina gani ilimuendelee pale walipo ishia? au brigitte alikwambia ana nursery kwaiyo anataka school...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.