Recent content by Vicin

  1. Vicin

    Natafuta soko la kuuza unga wa sembe na dona

    Nashukuru sana mkuu. Mi nipo Manyara, ila nahitaji niwe nasafirisha mikoani.
  2. Vicin

    Natafuta soko la kuuza unga wa sembe na dona

    Habari wadau. Nina mpango wa kufungua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Niweke kwenye package kisha nisafirishe mikoani kwa wateja wa jumla. Mashine, packages, mahindi, na mengine yanayohitajika ninayo, ila napata changamoto kwenye suala la uhakika wa soko. Naomba kama kuna mwenye ufahamu...
  3. Vicin

    Infinix Hot 8 Lite - Inauzwa (Dar)

    Hivi, hizi hot 8 sio zote ni 4g! Mbn kama umesema 3g, halafu kama haina 4g, hebu ongea bei nyingine uje pm.
  4. Vicin

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Nahitaji chumba sinza au mbezi beach au mikocheni b, Single au hata masta poa sana. Kama kipo njoo pm.
  5. Vicin

    Uzi maalum kwa waliokwisha soma na wanaotarajia kusoma Open University Tanzania

    Mi sipo open unv, Bali nina shida na baadhi ya open materials (manuals & books).
  6. Vicin

    Kwanini kwenye sheria wanapenda kutumia kilatini na Kifaransa?

    Anything attached to the land form part and parcel of land. Hahahahahahahahahaha Usinibip, Nipe tuu sababu za kuwepo kwa kilatini na Kifaransa kwenye sheria.
  7. Vicin

    Kwanini kwenye sheria wanapenda kutumia kilatini na Kifaransa?

    Hii kitu umepata wapi mdau? Nisaidie source ya huko ulikotoa, nimependa maelezo yako.
  8. Vicin

    Judicature and application of laws Act

    Nahitaji michango yenu Wadau wa Sheria
  9. Vicin

    Judicature and application of laws Act

    Habarini za saizi. Nina swali jamani, Eti ni kwanini judicature and application of laws Act ndio leading legislation in tanzania mainland?
  10. Vicin

    Kwanini kwenye sheria wanapenda kutumia kilatini na Kifaransa?

    Habarini wadau. Kuna lugha nyingi sana duniani, lakini kwanini kwenye sheria utakuta wanatumia misamiati ya kilatini na Kifaransa? Na ni kwanini ziwe hizo tuu? Natanguliza shukrani zangu.
  11. Vicin

    Uzi maalum kwa waliokwisha soma na wanaotarajia kusoma Open University Tanzania

    Habarini wadau. Naomba mtu anayesoma open university, ama mwenye manual ya c. k mtaki ya legal system part one and two, au anaejua namna ninayoweza kuipata. tuwasiliane. Aje pm. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom