Recent content by Vicent2014

  1. V

    Ramani za nyumba bora zinapatika kwa bei nafuu

    Ramani za nyumba bora zinapatikana kwa bei ndogo sana na pia tunaweza kumshirikisha mteja wetu wakati wa utengezaji,tafadhari wasiliana nasi kwa simu namba 0625904597
  2. V

    Kwa mahitaji ya ramani ya nyumba za kisasa

    N Nice nice ones
  3. V

    Kwa mahitaji ya ramani ya nyumba za kisasa

    Kwa mahitaji ya ramani za nyumba bora (modern house) please wasiliana na mimi. Tunatengeneza ramani za nyumba za kawaida (single storey) za ghorofa mbili (double storey) na kuendelea please wasiliana na mimi kwa namba 0714219591
  4. V

    Wapi naweza kupata machujio ya asali?

    Naombeni msaada nitapata wapi machujio ya asali yanayoweza kuchuja asali fasta, kuna asali yangu hapa nimenunua ndoo nzima lakini siwezi kuichuja
  5. V

    Natafuta loan officers wa kufanya nao kazi

    Ninahitaji Loan Officer au Credit Officer ambaye tayari ameajiliwa kwenye bank yoyote inayotoa mikopo ya Mortgage. Kikubwa nataka aniunganishe na wateja wanaohitaji kufanyiwa uthamini/valuation wa mali(nyumba, viwanja na mashamba). Tutagawana vizuri kitakachopatikana. Tafadhali wasiliana namu
  6. V

    Natafuta loan officers wa kufanya nao kazi

    Jamani mimi ni Valuer/Mthamini wa kujitegemea katika makampuni mbalimbali natafuta Loan Officers kwenye mabenki mbalimbali ili tufanye kazi pamoja. Tutalipana vizuri. Wasiliana nami kupitia no. 0714219591. Nipo Dar es salaam.
  7. V

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    Jamani wadau huku kwetu hatuna umeme. Tanesco wana agenda gani na kutubania uhuru wa kuona maovu ya wezi wetu idodoma jioni hii kwenye uwasilishaji wa report ya escrow.
  8. V

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    Japo nimejitahidi kurudi mapema kuona madudu yaoiyofanywa kwenye report ya escrow itakayo wasilishwa jioni ya leo bungeno dodoma lakini tanesco nao wamekata umeme. Je wana agenda gani na hili. Jamani wadau nani anaweza kuwaambia waturudishie umeme huku kwetu tabata.
  9. V

    Rwanda inatuwashia double indicator & full Light, CCM ondokeni hatuwataki

    Kingine sisi tuna miji mingapi maana hata dodoma yetu si haba au haujafanya research kabla ya kupost hii habari. na kwa taarifa yako kigali ipo stagnant baada ya m23 kitolewa kongo. palikua na pesa ya damu iliyokua inavunwa kongo chezea kagame we.
  10. V

    Rwanda inatuwashia double indicator & full Light, CCM ondokeni hatuwataki

    Ni damu ya ndg zetu wakongo ndio inayojenga rwanda wewe hujui tu ukweli wa mambo.
Back
Top Bottom