kumbe tupo wengi m toka wa 7 mpka sasa yan eeeeeeeh
juzi nimeenda kufanya kaz sehm moja ya serikali basi nikajua ndo tayar yan adi machizi niliwatumia message ilikua pale posta
Habari wakuu,
kuna wengine hawata nielewa .kwa mlionielewa ebu tililiken apo chini mana sitembei kwa raha maden yamezidi uko sina mengi najua kuna majenerali wenzangu wa mitandaoni mnanielewa kuhusu ujanja ujanja najiulizaga haya je?
Nitatiwa nguvuni au laa
Au tcra watanishughulikia
Na je...
Habari
Naiuza hi power mixer ya Yamaha g4 in njia nne yaan maiki nne kwa wakati mmja ina power ya kutosha inachukua speaker kubwa kuanzia watt 300 ..kwa wazee wa kurekod ipo fit hata wazee wa Chanel youtube mnaotaka kuanzisha Chanel Basi hi ndo funga kazi,sherehe ndogo ndogo inapiga mwanzo...
Habari waheshimiwa.
Ndugu yenu apa nina swali nataka kujua kuusu site za BIASHARA mtandaoni kama vile Kariakoo mall nk.nataka kujua nazo zinalipiwaa?? Na ni Kiasi gan??
Au la bidhaa inayouzwa Mana inakua tayari na lisit kutoka duka ulilonunuA na wewe kumuuzia mteja wa mtandaoni???au kumtumia...
Mkuu mm ni mmja ambaye nataku kuwasha mitambo kinachonipasua kichwa ni he TCRA wataniacha salama au MPKA nilipie Mana n site ya BIASHARA na sio ya KUAGIZA nje Bali ni kuuza bidhaa za dukani mwangu ..na km kulipia ni Kiasi gan Mana nimeona kwenye site yao wameandika site za maudhui ndo unalipia
Habari waheshimiwa
Kama kichwa Cha habari kinavyosema nataka kufungua online business ambayo nitadeal hasa na all computer na vifaa vyake km ram na disk,flat screen nk..
Na mimi nipo DSM Kariakoo na BIASHARA yangu itakua ni natuma bidhaa mikoa yote Tanzania na plan yangu ni kuwa na mawakala...
Habarin waheshimiwa,
Nauza boxer bm 150 km inavyoonekana kwenye picha sababu aina matatzo sana labda indicator na saintmirror pia na ila ni kuwasha na kuondoka ina kadi yake original kabisa. Vilevile kwa matazo ya saint mirror na indicator tunakatiana hela umo umo na vimatatzo vingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.