Recent content by vicemwa

  1. V

    JamiiForums Tanzania Ni John Pombe Magufuli

    Lowassa tu hamna sera mtaishia kutoa matusi tu
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuanza mapenzi, nashindwa sababu tabia za wanaume zinafanana

    Anza kutoa nyuma kwanza km hujui pakuanzia
  3. V

    JamiiForums Tanzania Magufuli Kumbe Huna Maadili wala Heshima, Hufai kuwa Rais

    Watu tunasema tunataka kuckia sera co matuc jamani mbn ccm mnaona hayo ndio sera muhimu kwenu tusumbiri 25 oct
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    Mbn haya umnayasema baada ya mtu kutoka cku zote ukimjua mtu mbaya wako au hakufai kwako mtoe mapema mbn hamkumfukuza mapema kweli nyie mmekwisha kabisa
  5. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

    Spence lameck lakini nawaonea huruma ccm tunawaburuza au wanaccm ni wale wasioenda shule nn watumii mitandao pia tatizo lao wanaungwa mkono na watu wenye upeo mdogo
  6. V

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Slaa ni nani anatafuta umaarufu wa kijinga pia star tv iangaliwe kwa makini huo co uelendi wa kutoa taarifa kwa wananchi
  7. V

    JamiiForums Tanzania Unaposema Lowassa mwizi, mwana CCM gani msafi ndani ya CCM?

    Mbona manyara mmechukua wanafunzi mkawapa kanga waende kujaza uwanja jamani cc hatuongei ccm hamna jipya mmejaza bongo kazi kukata viuno tu lakini mwaka huu kae mkao wa kula
  8. V

    JamiiForums Tanzania Unaposema Lowassa mwizi, mwana CCM gani msafi ndani ya CCM?

    Kawa nandi akina chenge , ngeleja, mama tibainjuka, amewambia wananchi wawapigie kura ili ashirikiane nao kwenye serikali yake nje hiyo mahakama ya mafisandi atajipeleka yeye ? Ccm hakuna lazima tubadilishe trip hii nashangaa sana mtu kupenda ambaye hajui maovu ya ccm pia kampeni zao zimenjaa...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Unaposema Lowassa mwizi, mwana CCM gani msafi ndani ya CCM?

    Kachuka
Back
Top Bottom