Taarifa zimekamilika ila Nilikuwa nataka Nisaidiwe nifanyaje ili niishi kisheria ila sijauliza maswala ya kazi maana kuna wengine wanazani kupata kazi inayoeleweka nirahisi sivyo huku nilazima uwe kisheria ndo upate mkataba wa kazi other wise unafanya kazi kama wanazo fanya watanzania wengine...
shukrani bro ila nipo Capetown nilijaribu kuwapigia simu wakapokea wadada nika waelezea tatizo langu wkaniambia hatuwezi kukusaidia kwa sababu hiyo si kazi yetu ni kazi ya home affair. JE unanishauri ni jaribu tena?
Hiyo nayo nimejaribu pia hazi ya ikimbizi wanatoa pretoria huku capetown ni kurenew tu ila ninampango wakutafuta chama cha Watanzania hapa Capetown je utakuwa unafahamu kilipo maana niko kwenye hali mbaya ya kifedha kwenda jorberg sitaweza au pretoria maana pia nikifika huko inabidi tena nitoe...
Ndugu nimeona mchango wako ila sijelewa kuhusu huo mkwaju na maana teyari niko illegal na pia je hiyo visa ya miaka mitatu na weza ipata kwa ghalama gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.