Usipotoshe humu ndani kuna watumishi pia sema hawa comment ya serikali kwakuwa wameapa kutunza siri za serikali, ukweli increment ni ndogo sana ikiongezwa unaweza usijui kama kuna ongezeko.
Ndiyo maana makampuni ya sigara wamelazimishwa kuandika ktk packet uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.Sasa hapa utashi wako unatakiwa kuutumia vema....
Kuwa mpole na onyesha busara yako zaidi kuliko jazba, najua unamapenzi sana na yanga lkn ukweli utabaki vilele tu kuwa Kevin hakufanya kitendo cha kimichezo, hata huyo wa singida united pia amekosea kama kweli limetokea tukio kama hilo la Kevin na Kwasi, kama kweli ni mpenzi makini wa yanga basi...
Kosa halihalalishwi na kosa, Kevin ni mchezaji mzuri tu ila ktk hili amekosea sana, mpira ni kazi kwa maana ya ajira, hivyo kila mfanyakazi anapaswa kuwa na nidhamu ktk kazi yake, Kevin ni mfanyakazi ktk club ya yanga anapaswa kuwa na nidhamu akiwa ktk carrier yake, tuige mambo mazuri kwa...
Aise nahisi unachuki kubwa na watumishi wa umma, hivi kazi kubwa zinazofanywa na madaktari, wauguzi kutibu na kuokoa maisha ya watu wewe unaona kwako ni bure kabisa, taifa lisilokuwa na watu wenye afya linakuwa na wakati mgumu sana kimaendeleo na uchumi pia, kazi ya kada hii ni kuakikisha mimi...
Nauliza hawa maafisa kilimo / maafisa ugani kazi yao nini hadi watu wafe njaa? Rais angewaambia maafisa ugani asisikie mwananchi wake anakufa kwa njaa ningemuelewa sana. Kuna wakuu wa wilaya na wakurugenzi wanafanya kazi gani hadi wananchi wafe njaa? Serikali tulioichagua inadhamana ya...
Kwahiyo polisi wameona hiyo simu ni muhimu pia kuliko afya ya mtoto? Tuweni na huruma jamani siyo kilajambo tunafanya ushabiki tu, mimi natetea haki ya mtoto kupata huduma ya matibabu, moja wapo ya sera ya afya ya nchi hii ni kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano, mimi nafikiri polisi...
Aise, long form ya TBC ni Tanzania broadcasting cooperation nasiyo agency yaani wakala, mfano was agency's ni TBA .Tanzania building Agency. Wakala wa nyumba
Chama cha wanasheria : tumgeshukuru kama tungepata malengo na madhumuni ya hiki chama then tutaweza kujua nicha umma kwa maana ya executive government maana naona wametajwa waziri wa katiba na sheria. Pia ningependa kujua hivi vyama vya wafanyakazi pia ni vya umma?
Kipimo gani ametumia mh polepole ilikujua zitto amepotosha? Zitto ametumia Ripot ya CAG kuonyesha kuna fedha hazija tumika ktk utaratibi, sidhani kama ni busara sana kutumia vitisho tena kwa mtanzania mwenzako kuwa afungwe bila kuonyesha kosa Lake nini kwa udhibitisho .Kama fedha hizo...
Nilokuwa namnaumu sana Pasco Mayala kwa shutuma zake kwa wabunge wetu sasa naanza kumwani kwa alichokusema kuhusu wabunge wetu. Namuomba mbunge Molel atumie muda wake mwingi kusoma na kuitafakari ripoti ya CAG kwa maslahi ya jimbo lake na kwa taifa
Ukweli ni watumishi wengi katika baadhi ya taasisi wanafanyakazi tofauti Na job description zao, nilishamkuta mkuu mmoja wa idara ya ardhi eti anakusanya mapato tofauti na majukumu yake ya kazi, nurses ktk hospital ya wilaya moja wanafyeka wakati wagonjwa wamepanga foleni wakihitaji huduma zao...
Kwaneno Lake Mungu aliziumba mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo ndani mwake.Yesu ni neno la Mungu lililovaa utu wa kibinadamu ili kuukomboa ulimwengu kutoka ktk utumwa wa dhambi. Injili inasema nae neno lilifanyika mwili akakaa kwetu... Hivyo huwezi kumtenganisha Mungu na neno lake, lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.