Hawa watu na hii tabia vyote kwa pamoja ni sikio la kufa halisikii tena dawa..labda mpk siku mwendokasi wao uondoke na baadhi ya roho zao ndo wataelewa
Vivutio ni vingi sana apa bongo...ila io channel ni inarudia vipindi si poa,yani kwa siku unaeza onyeshwa shamba la wanyama pori chato zaidi ata ya mara 5,ubunifu hakuna kwa hio channel... tuna makabila kibao yenye mila na desturi za kuvutia ila hatuonyeshwi,wamebase kwenye vivutio...
Alafu hawa tigo ni wezi nje njee..unajiunga GB yako moja then ikifikisha kwanzia MB 40 bando halifanyi kazi tenaa angali mitandao mingine MB 40 zinatumika mpk kubaki 0..sasa nini maana ya One GB?
Sasa na wewe hasira za ninii? Yeye kahabarisha umma tu juu ya maisha ya watu wa dar Hakuna sehemu kaonyesha hasira wala[emoji419]sasa mtu asiwaambie watu ukweli?
Umeandika huu uzi wako kwa hasira sana mzee[emoji23]tuletee fact apa kwamba ni kweli wanakodisha,yaani una ushahidi gani?
Alafu umesema wanakodi gari laki mbili au tatu kwa siku embu fikiria mtu anaenda kwao mwezi mzima siku 30 alafu ana gari ya kukodi ambayo anailipia laki mbili hadi tatu kwa...
Usijichanganye eti uuze simu utoke kwa bro ukaapangishe,ukishalipa kodi utakuwa unakula nini...Yani ni bora uuze hio simu alafu io pesa ya simu uone namna ya ufanye nini nayo ukiwa apo apo kwa broo yani ukitoka kwa bro uwe una uhakika na kitu cha kufanya....Binadamu tumeumbiwa kusema tangu...
Bora uaminii alafu ufike huko umkose kuliko kutokuamini ufike huko umkute...Aise moto wako utakuwa ni wa makaa ya mawe na petrol[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kitu umeandika hapa hata ukimpea mdogo ako wa darasa la 4 shule ya msingi vingunguti anaeza akatilia shaka ufahamu wako wa akili[emoji23]
Wapi biblia inasapoti ushoga? Ushoga ni hulka ya mtu tu na haihusiani na dini
Alafu hii kitu inatumalizaga sana baadhi ya wadada...Yani unakuta mtu katolewa out alafu hajawahi kutumiaga aina flan ya pombe sasa kumkomoa aliyemtoa out ndo anataka akaitumie ile out kama uwanja wake wa majaribio ya kuonja zile pombe za gharama ambazo hajawahi tumia[emoji23]angali tukiwa...
Mi naona hili swala limekaa kimila mila zaidi kama sio kiuchawi uchawii...Maana hospital huko sidhani kama kuna mtu aliwahi ambiwa kuwa etii usile nyama za wanyama wako na miguu minne,ila tunaambiwaga tu usile nyama nyekundu au nyeupe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.