Recent content by venine

  1. venine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumapili ya kesho tuwaombee wanaume walio zidiwa kipato na wake/demu zao

    Katafute muuza mbunye uoe maana ndio fungu lako. Hao wengine wenye financial freedom waachie wanaume wanaojielewa na waliolelewa vyema.
  2. venine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumapili ya kesho tuwaombee wanaume walio zidiwa kipato na wake/demu zao

    Kwa ulimwengu huu ambapo Tanzania one karibu kila mwaka ni wadada. Wadada tunawashinda kuanzia darasani, na wapo kwenye private sector, wengine kwenye vitengo serikalini, wengine wajasiriamali wakubwa.. Itabidi mkaoe vijijini kwenu au wale wenye elimu ya cheti, sijui form 4. Maana pia...
  3. venine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Kama unachepuka na bado unawaza kumuumiza mmeo, basi ujue mchepuko hajafika levels za mumeo. Ukipata mchepuko unaemuelewa, habari za mume huzikumbuki kabisa.
  4. venine

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

    Chief anaupiga nwingi sana... Sasa tunaelewa maana yake
  5. venine

    JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    Hongera mother unaupiga mwingi sana. Kazi iendelee, kodi tutalipa tutake tusitake... Au tukazikwe naye?
  6. venine

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu Wa January Makamba, Marekani nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani

    Ahsante kwa hii shule, hasa hapo kwenye hizo break even points za kupata faida na swala la kama mmoja wa producers akiamua kuanzisha price wars. Watu kama nyinyi ndio mtasababisha tuendelee kuwepo JF
  7. venine

    JamiiForums Tanzania Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    Nilisikilza hiyo statement ya bahati mbaya sana, nikajiuliza maswali mengi. Naunga mkono hoja kuwa mama aandikiwe speech, akifika pale azisome bila kuongeza mawazo yake binafsi kama hayo ya bahati mbaya na mipasho mingine. Anatu let down wanawake. Ukianza na ile speech ya urefu wa kamba, SPIKA...
  8. venine

    JamiiForums Tanzania Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    Na viongozi wa mikoa na wilaya walishapigwa mkwara mtu akionekano na bango kiongozi atawajibishwa. Kwahiyo kama hukusikilizwa shida zoko mkoani/ wilayani, na ukabeba bango lako hapo, utawajibiswa na uongozi wa chini kabla Rais hajaliona hilo bango. Kiongozi hataki lawama. Ndio maana huyo mama...
  9. venine

    JamiiForums Tanzania Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    Juzi tu katuambia watumishi wa umma tusipeleke malalamiko kwa Rais kama tume ya maadili ya utumishi wa umma ilishatoa maamuzi kuhusu kesi zetu. Ila katiba inatuambia tuna haki ya kukata rufaa kwa Rais kama tunahisi haki haikutendek. Leo tena yanajirudia kwa wananchiwa kawaida. Mama hataki...
  10. venine

    JamiiForums Tanzania Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Shida kubwa kwake ni kutokuwa na vision kama kiongozi. Hajui hata anasimamia kipi. Anapelekwa na upepo wa Msoga, chama kuu, praise team kigogo, wapinzani, wakosoaji wa aliyemrithisha, wasanii mazuzu.. Hakujiandaa kushika nchi.. yaani hajui hata jahazi alipeleke wapi. Hana mwelekeo, agenda...
  11. venine

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

    Kg ya viazi mbatata mkoa naoishi imetoka shs 800 hadi 1500
  12. venine

    JamiiForums Tanzania Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

    Wameshindwa kupambana. Mgao wa umeme na maji ambao haujatokea miaka mitano iliyopita. Hatukuwa kusikia mgao wa maji kufika hadi Mbezi beach na Mikocheni. Hapo ujue hali ni tata. Kupanda kwa bei za mafuta ya kula, vifaa vya ujenzi, gesi na leo tumetangaziwa kwamba ukiwa na shs elfu 10 hutapata...
  13. venine

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Siyo mchumi bwana. Anajiita tu Mchumi.Alisoma Public administration
  14. venine

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

    Magufuli hakuwa popular? mmmmhh
Back
Top Bottom