Naomba kufahamu maana naona kuna kitu hakijakaa sawa.kama unaendesha gari kubwa lori speedi inasoma 80 p/h na kuna garindogo ist iko mbele ya lori na speed onasoma 80 p/h.je kama speed za gari zote mbili hazitaongezeka lori linaweza kuiovatek ist??
Ni kweli hawa makamanda wanatofautiana . kuna kipindi kamanda wa jiji la Arusha alikuwa marehemu Kombe yaani mambo yalikuwa ni moto ajali za kizembe kulikuwa hakuna kila askari alitimiza waJIbu wake tena kwa wakati narushwa na faini zilipungua sana. Arusha tulimpenda sana. MUNGU AMLAZE MAHALI...
Pole sana kaka ni tatizo la wanandoa wengi kwa sasa hasa kuanzia mimba ya mtoto wa pili tatizo ndiyo linaanzia hapo. Lilimtokea dada yangu tiba alipatia muhimbili na sasa hali ni nzuri na ana watoto wakutosha. Ila ngarama ya matibabu ni kubwa. Nenda muhimbili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.