Recent content by venance7

  1. venance7

    Jipatie Rangi bora za decoration kutoka SILKCOAT PAINT

    Hizo rangi zenu za ndani silk na weather guard nje huwa zinaingiliana na hizi primer za kampuni nyingine? mfano upake alkali primer alafu upake hizo hakuna shida?
  2. venance7

    Jifunze kutoa kwa kile kidogo ulicho nacho

    Kuna nguvu kubwa na baraka ktk utoaji/kusaidia watu wenye mahitaji maalum au changamoto kwenye maisha.
  3. venance7

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Mkuu makadilio ya chini ya chumba master na sebule kwa eneo tambalale mpaka boma kukamilika, materials yanapatikana karibu ni kiasi gani?.Plan ya kwanza ilikua ni kujenga vyumba viwili kimoja master sebule na jiko ila kutokana na hali kubadilika nikaona nikimbie nyumba za kupanga kwa kuanza na...
  4. venance7

    INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Friji za brand ipi ni nzuri nahitaji kuchukua moja kati ya hizi Boss,Haier,homebase,na Mr uk
  5. venance7

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Simba inahitaji mabadiliko makubwa sana ya wachezaji,wengi quality yao ni ndogo mno..
  6. venance7

    Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Betting nilianza 2014 ila kwasasa nimepunguza kwa asilimia 70 u 80 kabisa,kimahesabu pesa nilizopata kwa kushinda tangu nianze inafika milioni 4,ila nilizopoteza zinazidi hiyo.Kiufupi addiction kama pombe,kamari,punyeto, picha za ngono,na madawa zinahitaji nguvu za maombi na Dua kwa kumaanisha...
  7. venance7

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Mimi nilifuta social media kama Instagram huwa naboreka na habari za wasanii na entertainment, miaka ya nyuma nilikua naifuatilia sana miziki,movies nk
  8. venance7

    Mwili wa kijana aliejirusha baharini umeonekana

    Sio kulewa,boti ikiwa ktk spidi huwezi kutembea vizuri mule lazima utatembea kwa staili Ile
  9. venance7

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Hii kitu sijui kama makocha huwa wanafundisha hivyo yani wachezaji wao kila wakipokea mpira ni back pass au kubutua inakera sana
  10. venance7

    Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

    Nimeishi huko miaka mitatu niliondoka 2017,kwa miaka hiyo niligundua haya; gharama za vyakula zipo chini ila mzunguko wa pesa ni mgumu,kule kwa mtu muajiriwa au yeyote mwenye uhakika wa kupata hata laki nane au saba kwa mwezi basi ataishi maisha ya unafuu, kiukweli nyumba nyingi zina standard...
  11. venance7

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Pamoja na kwamba tumezidiwa daraja na hawa Morocco lakini kiukweli timu ya taifa bado vingi sana vya kufanya ili kifika levo za wenzetu,timu hata kupiga pasi kumi ni mtihani,Yani pasi tatu mpira unapigwa juu unatoka au unapotea kwa wapinzani.
  12. venance7

    Mafundi rangi msaada wetu hapa

    Nahitaji kujua utofauti wa hizi rangi ambazo ni vinyl superlux matt emulsion, na silk ambazo sio matt, hizo za kwanza ni zile za kuchanganya na mashine au ni zipi, na matumizi,
  13. venance7

    KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Huku maeneo ya Ulongoni Gongo la Mboto, miaka michache nyuma ilikuwa kero kubwa sana kuishi, barabara mbovu za vumbi, madaraja yote ya mto msimbazi yalikuwa yamevunjika, hilo lote ni Jimbo lake, sijajua huko tatizo linalokwamisha ni nini?
  14. venance7

    Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Kulala camp huwa zipo ila kuhusu kula hakuna kampuni itakulisha hiyo ni gharama zako
  15. venance7

    Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Zanzibar kazi za ujenzi zipo nyingi sana kwasababu uwekezaji mkubwa ni hoteli za kitalii,ila ukibahatika kupata vibarua ktk kampuni za wazungu angalau huwa wanawalipa tsh 15000 na fundi tsh elfu 20 hadi 25,ila ukiangukia ktk kampuni za wahindi hao pesa zao ndogo vibarua wanawalipa elfu 12 kwa...
Back
Top Bottom