Recent content by Venance 95

  1. Venance 95

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitajie nyimbo Kali za fally ipupa

    Kuna mkwaju unaitwa Palabre kautoa jana,upo ndani ya album yake mpya inaitwa Derilium 👏👏👏
  2. Venance 95

    JamiiForums Tanzania Niliroga sana

    Duh kweli elimu bahari,na kwanini waganga na wachawi wengi huwa wana maisha mabovu,yani kuacha hawa wa mtandaoni wanaojitangaza,huwezi kusikia mganga nguli ana plot au mansion Oyster bay,masaki,goba,Capri point,mbezi beach kuna, kwasababu kama ana uwezo wa Kuwa na dawa za mvuto wa biashara au...
  3. Venance 95

    JamiiForums Tanzania Niliroga sana

    Waganga wanazidiana kwa upande gani? Mfano utasikia waganga wa Kongo kiboko au msumbiji au tanga kwa msisi na wachawi hivyo hivyo, maana yangu ni kwamba huko kuna vyeo vinatolewa au namna gani ndugu Mshana jr
  4. Venance 95

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi kwa wahindi bila kujipendekeza na kuwa mnafiki inawezekana kweli?

    Wahindi waduanzi Sana,ukiwa na hasira ni ngumu kufanya nao kazi yoyote Ile.
  5. Venance 95

    JamiiForums Tanzania Niliroga sana

    Wengi humu jf tulikufahamu kwa nyuzi za aina hii,Jambo zuri kufanya toba.Lakini kama hutojali kuna mada moja uliwahi kuizungumzia huko nyuma kuhusu milango ya kuzimu hapa Tanzania,na mazindiko yaliyowekwa kwa nchi mfano mwenge,kwa faida ya watu fulani, unaweza kuturudisha darasani tena kuhusu...
  6. Venance 95

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Manchester city anaondoka na mizigo yetu 🤔🤔
Back
Top Bottom