Pakistan bangladesh india ndo hao haoWapakistani na wahindi ni kama wamasai wa kenya na tanzania tu...
Kwa kifupi ni jamii ile ile tu kwa zaidi ya 95%.
Wahindi ni Chupli Chupli sana.Jamaa yangu alipata kazi kwa wahindi january mwishon. Yuko vizuri sana kwa kile anachofanya, anajiamini na anaongea kiingereza kimenyooka kama rula. Ile ofisi wote ni wahindi... Last month kasimamishwa kazi kisa eti wafanyakazu wenzake hawataki kufanya kazi naye. Hao wenzake wote ni wahindi. Boss anamwambia unapiga kazi vzuri kuliko wote ila wamegoma hawataki kufanya kazi na wewe.